Category: Michezo
Kuondoka Acacia aibu kwa wana Shinyanga
Kampuni ya uchimbaji madini – Acacia Gold Mine, imetoa notisi ya kutaka kujiondoa kuidhamini klabu ya Stand United ya mkoani Shinyanga, kutokana na mgogoro unaoendelea kufukuta klabuni hapo. Acacia Gold Mine, imetangaza kuvunja mkataba wa udhamini huo endapo klabu hiyo…
Tumepeleka watalii Rio!
Kwa mara ya mwisho Tanzania kupata medali katika mashindano ya Olimpiki ilikuwa ni mwaka 1980 michezo hiyo ilipofanyika katika nchi ya Urusi ambapo Filbert Bayi na Suleiman Nyambui walipata medali za fedha. Katika mashindano hayo Bayi alitwaa medali hiyo kutoka…
Kwanini Soka la EA pasua kichwa?
Mmoja wa Makocha wenye heshima katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (EA), Adel Amrouche aliwahi kutoa maoni yake juu ya kwa nini ukanda huu haupigi hatua katika soka. Kwa wasiomfahamu, amewahi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Burundi…
Uzalendo unatuumiza michezoni
Katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika nchini Mexico katika Mji wa Mexico City mwaka 1968 Tanzania iliwakilishwa na mwanariadha aliyefahamika kwa jina la John Stephen Akhwari kwa upande wa mbio za marathon. Kwa wale wasiomfahamu huyu ni mwanamichezo hodari wa kipindi…
Serikali iwekeze katika soka
Wafuatiliaji wengi wa soka la hapa nyumbani, watakubaliana nami kuwa makocha wengi wa hapa nyumbani walioanza kufundisha soka kwenye miaka ya 1980 hadi sasa, wengi wao walipata mafunzo ya mchezo huo nje ya nchi. Hawa ni akina Sunday Kayuni, Charles…
Timu za zamani zirejeshwe?
Walau sasa sura ya utaifa katika Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kuonekana, kutokana na kila kanda kuwakilisha timu zao kutoka kwenye mikoa husika. Katika mikoa 26 ya Tanzania Bara, ni minane tu yenye timu zinazoshiriki Ligi Kuu, mingi ikiwa na…