Category: Michezo
Seki Chambua amtia ndimu Simon Msuva
Wakati mshambuliaji chipukizi wa yanga mwenye kasi, Simon Msuva, akimaliza majaribio yake nchini Afrika Kusini, wadau mbalimbali wa soka wamempongeza kwa kuthubutu. Ingawa uongozi wa Klabu ya Yanga ulisema kuwa unakusudia kumuadhibu mchezaji huyo na klabu aliyokwenda kufanya majaribio, lakini…
Simba yaonywa usajili
Wakati tetesi za usajili zikizidi kushika kasi nchini katika klabu mbalimbali, uongozi wa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club ya Dar es Salaam, umeonywa kuwa makini katika jambo hilo. Simba inayohaha kushika angalau nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi…
Cannavaro afufua matumaini, Yanga ikiifuata Etoile
Matumani ya kufanya maajabu ugenini kwa upande wa Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam, yamefufuka baada ya taarifa za kitabibu kusema Nahodha wa kikosi hicho, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, atakuwa fiti kuwakabili Waarabu. Yanga wanaotarajiwa kuondoka nchini kesho Jumatano kwenda…
Weusi wa Balotelli watikisa
Mshambuliaji wa Liverpool, Mtaliano Mario Balotelli, ndiye mchezaji aliyebaguliwa zaidi katika Ligi Kuu ya England, imefahamika. Taarifa zinasema kwamba mchezaji huyo hupokea ujumbe wa aina mbalimbali katika mitandao ya Twitter, Facebook, Instagram na WhatsApp ambako jumla yake ni 8,000 kwa…
Morris, Kipre warudi Azam
Mara baada ya kuwatosa kwa muda wachezaji wake, Kipre Tchetche na Aggrey Morris, timu ya soka ya Azam FC imewarejesha haraka ili kujiweka sawa kwa ajili ya kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Wachezaji hao walifungiwa kucheza mechi nne baada…
Salum Abdallah aliuza nyumba kununua vyombo vya muziki
Mji wa Morogoro ni miongoni mwa miji iliyokuwa maarufu kwa michezo na burudani katika miaka ya 1950, 1960 na ya 1970. Watu wengi walitoka Dar es Salaam na kwenda kufanya starehe za kumaliza wiki mjini humo. Hali ya hewa…