Category: Michezo
Kwaheri De Gea, karibu Mkwasa
Ni mkono wa kwa heri kila kona; huku tunaagana na Mart Nooij kule katika Jiji la Manchester, ambalo linakuwa na anga nyekundu mara bluu, kuna kuagana na David De Gea. Presha imekuwa kubwa na haizuiliki tena watu kurudi katika asili…
Ya TFF na Mayweather
Ilikuwa ni mkesha wa hiari kusubiri pambano la masumbwi kati ya Mmarekani Floyd Mayweather na Manny Pacquiao lililoacha gumzo kwenye ulingo mmoja maarufu pale Las Vegas, Marekani. Wapo waliolala kwa mang’ang’amu kusubiri pambano hilo na wengine kukesha. Kulikuwa na mabishano…
Messi wa Simba kortini, Messi wa Barca dimbani
Ninapotazama soka hapa nchini, nawaona wachezaji wetu ni kama yatima kutokana na mfumo wa ukuzaji wa vipaji wa nchi, kadhalika ni wa kujitakia. Kuna kitu kikubwa wachezaji wetu wanachokosa, wamekuwa ni watu wanaojipa majukumu mazito kwa kutokujua au ubinafsi tu. Mchezaji…
Fasta fasta inavyoumiza michezoni
Wahenga walinena “haraka haraka haina baraka” tena wakanena “mwenda pole hajikwai.” Wahenga pia walitambua kuwa kwenye dharura haraka inaweza kutumika ndiyo maana wakanena pia “ngoja ngoja yaumiza matumbo.” Tunajua vyema kuwa dharura huwa haidumu, na jambo la mara moja linatatuliwa…
Kule Fellain, huku Makapu
Kuna wakati ili ufanikiwe basi ni vyema kujifunza kwa yule aliyefanikiwa. Mtu aliyefanikwa kwa kumwangalia tu matendo yake unapata funzo. Unaweza kumwangalia namna anavyoongea, anavyotembea, anavyocheka na namna anavyochagua marafiki, kusikiliza watu na kadhalika na utajikuta umepata funzo kubwa sana…
Seki Chambua amtia ndimu Simon Msuva
Wakati mshambuliaji chipukizi wa yanga mwenye kasi, Simon Msuva, akimaliza majaribio yake nchini Afrika Kusini, wadau mbalimbali wa soka wamempongeza kwa kuthubutu. Ingawa uongozi wa Klabu ya Yanga ulisema kuwa unakusudia kumuadhibu mchezaji huyo na klabu aliyokwenda kufanya majaribio, lakini…