JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Aziz Ki bado yupo sana kwa wananchi

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BAADA ya gumzo la muda mrefu kila mmoja kiazungumza lake, hatimaye Klabu ya Yanga leo Julai 10, 2024 imethibitisha rasmi kuwa mchezaji wao Aziz Ki bado ataendelea kusalia klabuni kwako. Baada tu ya…

John Bocco atambulishwa JKT Tanzania

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco ametambulishwa kuwa mshambuliaji wa Klabu ya JKT Tanzania. Bocco ambaye ndiye kinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Tanzania tayari ameshaanza mazoezi na klabu yake mpya tayari…

Kocha Rhulan Mokwena wa Mamelod kutua Wydad

Na Isri Mohamed Aliyekuwa kocha wa klabu ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Rhulan Mokwena anatarajiwa kutambulishwa kuwa Kocha mkuu wa Wydad Athletic Club ya nchini Morocco. Kocha Rhulan ambaye anakwenda kuchukua mikoba ya Aziz Ben Askar, tayari ameshatua nchini…

Luis Miqquisone atimkia Songo

Isri Mohamed Siku chache baada ya kutemwa na wekundu wa Msimbazi, aliyekuwa Winga wa Simba, Luis Miquissone amerejea kwenye klabu yake ya zamani ya UD do Songo kwa ajili ya msimu ujao wa 2024/25. Miquissone amerejea UD do Songo baada…

Nyota yang’ara mchezo wa kuogelea

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar ea Salaam MASHINDANO ya mchezo wa kuogelea kwa vijana yamemalizika hapo juzi kwenye bwawa la kuogelea lililopo katika Shule ya Kimataifa Tanganyika (IST) huku vijana mbalimbali wakichuana vikali. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili mara…

Tabora United yakabidhiwa kitita cha milioni 50

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora   TIMU ya soka ya Tabora United ya Mkoani Tabora imezawadiwa kitita cha sh mil 50 baada ya kufanikiwa kubakia Ligi Kuu ya NBC msimu huu kama motisha kwa wachezaji na walimu wao. Kitita hicho kimekabidhiwa…