JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Paccome aitwa timu ya Taifa Ivory Coast

Na Isri Mohamed Shirikisho la Soka la Ivory Coast limetangaza kumuita kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua kwenye kikosi cha timu yao ya Taifa. Paccome ameitwa kuchukua nafasi ya kiungo mkabaji wa Nottingham Forest Ibrahim Sangare ambaye amepata majeraha. Ivory…

Samatta aliomba asiitwe Stars

Na Isri Mohamed Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta aliomba kutojumuishwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa. TFF imesema Samatta alizungumza na Kocha Hemed Suleiman, kabla ya kutajwa kwa kikosi hicho na…

Samatta, Job waachwa Taifa Stars

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetangaza kikosi cha wachezaji 23 cha Timu ya taifa (Taifa Stars) kitakachokwenda Azerbaijan kwa ajili ya michezo ya FIFA Series 2024. Kikosi hicho ambacho kwa sasa kinanolewa…

Yanga Vs Ihefu, mechi ya kisasi leo

Na Isri Mohamed Klabu ya wananchi Yanga leo jioni inatarajia kushuka dimbani dhidi ya Ihefu katika uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar, saa 1 jioni. Yanga wanaingia katika mchezo huo wakiwa na mioyo ya kisasi kufuatia matokeo ya mchezo…

Mnapompandisha Ayoub, msimshushe Manula

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia BAADA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba vs Tanzania Prison uliomalizika kwa mnyama kufungwa mabao 2 kwa 1 akiwa nyumbani, mjadala mkubwa ulioibuka ni kiwango cha golikipa Aishi Manula ambaye alianza golini akibezwa…

Bruno na Singida FG ndio basi tena

Na Isri Mohamed Kiungo wa Brazil anayekipiga klabu ya Singida Fountain Gate, Bruno Barroso amethibitisha kuachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya pande zote mbili kuanzia leo Machi 4, 2024. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Bruno amepost barua yenye ujumbe…