Category: Michezo
Garden Michael aanza kuwasha moto Afrika Kusini
Isri Mohamed Mlinzi wa kushoto raia wa Tanzania, Gadiel Michael anayekipiga kwenye klabu ya Cape Town nchini Afrika Kusini ameanza kuwasha moto kwenye klabu yake hiyo kwa kutoa Assist ya bao la kwanza wakicheza dhidi ya Galaxy fc. Mchezo huo…
Kidunda, Wellem nani kuibuka mbabe leo usiku
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Bondia Seleman Kidunda anatarajia kushuka dimbani leo usiku kupigana na Assemahle Wellem kutoka Afrika kusini. Baada ya kupima uzito Kidunda ametoa ahadi kwa watanzania ya kulipa kisasi kwa Wellem ambaye miezi michache iliyopita…
Yanga watinga robo fanali kibabe
Na isri Mohamed, JamhuriMedia Klabu ya Yanga imefuzu na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwafunga CR Belouizdad mabao manne kwa Nunge. Mabao hayo manne yamefungwa na Mudathir Yahya, Kennedy Musonda, Aziz Ki na Joseph Guede. Hii…
Mkutano Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani kuanza Februari 12, nchi 140 kuhudhuria nchini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Francis Mbindi ameeleza kuwa Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa 79 wa Baraza la Michezo ya Majeshi…
Mchezaji Quincy promes ahukumiwa kwenda jela miaka 24
Na Isri Mohamed Mchezaji wa klabu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi, Quincy Promes mwenye umri wa miaka 32, amehukumiwa kwenda jela miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya kuuza dawa za kulevya. Promes ambaye amewahi kuzitumikia klabu za…
Ivory Coast na hadithi ya ikisikika nyuma geuka…
Na Isri Mohamed Ule msemo wa ikisikika nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza umejidhihirisha wazi kwa timu ya taifa ya Ivory Coast ambayo licha ya kufuzu hatua ya 16 bora kwa njia ya ‘Best Looser’ lakini wametwaa ubingwa wa…