Category: Michezo
Maono ya Rais Dk Samia yaipeleka Taifa Stars AFCON
Na Eleuteri Mangi, WUSM Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameipongeza Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kufuzu katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON, 2023 zitakazofanyika mapema…
Taifa Stars kutwaa milioni 500 za Rais Samia
Na Mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza ahadi ya Shilingi milioni 500 aliyotoa kwa Timu ya Taifa Stars ikifuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023 nchini Ivory Coast….
Chalamila akutana na kamati ya maandalizi ya mkutano mkuu wa Baraza la Michezo ya Jeshi Duniani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na Kamati ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani Ofisini kwake Ilala Boma jijini Dar es Salaam. RC Chalamila akiongea na…
Yanga SC yaichakaza JKT Tanzania 5-0
Klabu ya Yanga imeendelea kutoa dozi nzito kwenye ligi kuu Tanzania bara maarufu NBCPL mara baada ya kufanikiwa kuizamisha mabao 5-0 timu ya JKT Tanzania mchezo uliopigwa kwenye dimba la Chamazi Complex Jijini Dar es Salaam. Yanga SC walienda mapumziko…
Zouzoua aonyesha kipaji chake
……………………………………………. Klabuya Yanga imefanikiwa kuondoka na alama tatu kwa kuweza kuinyuka KMC FC 5-0, kwenye mchezo wa ligi Kuu NBC uliopigwa kwenye dimba la Azam Complex Jijini Dar es Salaam. Katika Mchezo huo Yanga iliwaanzisha baadhi ya nyota wao akiwemo…
PICHA: Rais Samia ndani ya Simba Day kwa Mkapa
Picha za matukio mbalimbali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa katika kilele cha Klabu ya Simba (Simba Day) kama mgeni raami leo Agosti 06, 2023