JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Morrison kuwahi Simba NBC

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Ripoti imeeleza mshambuliaji kutoka nchini Ghana, Benard Morrison ameshapona kwa asilimia 80 na hivyo mchezaji huyo kuweza kuuwahi mchezo wa ligi kuu Tanzani Bara dhidi ya Simba Sc. Morrison kwa kipindi kirefu amekuwa nje ya kikosi cha…

Azam hatihati kumkosa Ibenge

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Miamba kutoka Azam Complex huwenda ikashindwa kunasa saini ya kocha kutoka DR Congo, Florent Ibenge ambaye amekuwa akitajwa kuwaniwa na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu 2022/23. Inaelezwa kuwa mabosi wa klabu ya Al Hilal ya nchini…

Amrouche aipongeza Uganda

Na Tatu Saad,JAMHURIMEDIA Licha ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Taifa Stars dhidi ya Uganda katika mchezo wa kundi F kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ uliopigwa katika uwanja wa Suez Canal Authority uliopo nchini Misri,kocha Adel Amrouche…

Mandonga amchapa Mganda,ajinyakulia taji

Bondia machachari na mwenye mbwembwe nyingi Karim Mandonga amechampa Mganda Kenneth Lukyamuzi na kutwaa ubingwa wa PST uzani wa Light-Heavyweight. Mandonga ameshinda kwa pointi katika pambano hilo la raundi 8 na kutwaa ubingwa huo wa kwanza kabisa katika maisha yake…

Azam yaanza kujitafakari ligi kuu

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Matajiri kutoka Chamazi, Azam FC wameanza kujitafakari ili kufanya vizuri katika michezo ya ligi kuu iliyosalia msimu huu wa 2022/23, baada ya kuchemsha kwenye baadhi ya michezo waliyocheza hadi sasa. Akizungumza kocha msaidizi wa Azam FC,Kally…

Waonywa kucheza Ndondo Cup msimu wa Ramadhan

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Shirikisho la Soka Zanzibar ‘ZFF’ limewaonya Wachezaji wa Klabu za Ligi Kuu visiwani humo ‘PBZ Premier League’ pamoja na Ligi Daraja la kwanza Kanda ya Unguja na Pemba, kutojihusisha na kucheza Michuano ya Mitaani (NDONDO Cup)…