Timu za Veterani JKT Tanzania (Bluu) na Veterani Twalipo (jezi nyeupe) wakishindana katika mchezo wa soka wakati wa Bonanza la Michezo la kuadhimisha miaka 60 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwenye viwanja vya Kilimani Club jijini Dodoma. 

Michezo mingine ya kikapu, pete na wavu iliendelea kwenye viwanja vya Chinangali Park. 

By Jamhuri