Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakitoka kukagua Timu za Nyasa Big bullets na Yanga katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Waamuzi (Marefa) wa mchezo kati ya Nyasa Big Bullets na Yanga uliofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Timu ya Nyasa Big Bullets ya Malawi katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.

By Jamhuri