JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Ihefu yazidi kujiimarisha kuelekea kombe shirikisho

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Wababe kutoka jijini Mbeya Ihefu FC ( Mbogo maji) wameeleza mipango yao kuelekea mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Tanzania ‘ASFC’ dhidi ya Simba SC mnamo April 7, 2023 jijini Da es Salaam. Akizungumza…

Azam waelekeza macho na akili ASFC

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Matajiri kutoka Chamazi ‘Azam FC’ wahamishia nguvu na utimamu wake kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ katika msimu huu wa 2022/23. Hii ni baada ya kupoteza matumaini ya kutwaa taji la Ligi Kuu…

Mbrazil autaka ushindi kwa Raja

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Kocha mkuu wa Klabu ya Simba SC, Robert Oliveria ameeleza kuwaheshimu wapinzani wao ‘Raja Casablanca’ kuelekea mchezo wao wa mwisho wa kundi C, Ligi ya mabingwa Afrika,utakaopigwa huko nchini Morocco. Robertinho ameyasema haya baada ya kundi…

Simba kuwafata Raja leo

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Kikosi cha klabu wa wekundu wa msimbazi ‘Simba SC’ kinatarajia kuondoka mchana wa leo kuelekea nchini Morocco, kwa akili ya mchezo wa mwisho wa kundi C LIGI ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca. Meneja wa…

Mwakinyo aahidi ushindi dhidi ya Katembo

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Bondia kutoka Jijini Tanga, Tanzania, Hassan Mwakinyo anaendelea na maandalizi ya pambano lake dhidi ya raia kutoka DR Congo, Kuvesa Katembo mnamo April 23 mwaka huu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Mwakinyo amesema baada ya kukaa…

Baleke apewa programu maalumu

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke ameandaliwa Program maalum itakayomuongezea kasi ya kufunga mabao akiwa na Kikosi cha Simba SC, kinachojiandaa na mchezo wa Mzunguuko wasita wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Programu hiyo…