JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Mtibwa na vita ya kisasi kwa Simba

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wana Manungu kutoka mkoani Morogoro, ‘Mtibwa Sugar’ wameeleza kuzitaka alama tatu muhimu kwa kulipa kisasi, katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Simba Sc, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya Machi 11 mwaka huu katika uwanja wa Manungu…

Nabi afunguka kilichomtoa Aziz Ki

Na Tatu Saad Dakika 45 za kipindi cha kwanza ndizo dakika pekee zilizomtosha Stephan Azizi Ki katika mchezo wa jana wa  kombe la shirikisho barani Afrika, Yanga dhidi ya Real  Bamako ya Mali, baada ya kocha mkuu wa Klabu ya…

Yanga yazidi kung’ara kwa Mkapa

Na Tatu Saad, Jamhuri Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania ambao ni washiriki pekee wa kombe la shirikisho barani Afrika Yanga Sc, wamewaburuza Real Bamako ya Mali mabao 2-0, katika Dimba la Benjamin Mkapa. Yanga wameendeleza ubabe katika dimba…

Ibenga aitaka huduma ya Inonga

Na Tatu Saad, JAMHURI Kocha mkuu wa Klabu ya Al hilal ya nchini Sudan, Florent Ibenge ameanza kuwashawishi viongozi wa klabu hiyo kufanya mchakato wa kupata saini ya Beki muhimu wa klabu ya Simba Sc, Henock Inonga raia wa Congo….

Milton Karisa aitamani ligi ya Bongo

Na Mwandishi wetu, JAMHURI Mshambuliaji na nahodha wa timu Vipers ya Uganda amesema yupo tayari kucheza soka la Bongo kwani lina muamko na ushawishi mkubwa. Mshambuliaji huyo ambaye ni muhimu katika kikosi cha Vipers amesema soka la bongo linaopendwa na…

SIMBA NA YANGA KUAMUA ZAWADI ZA CAF

Na Tatu Saad, JAMHURI Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeweka hadharani zawadi kwa Bingwa wa Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la shirikisho msimu huu 2022/23. Zawadi kwa Bingwa wa Michuano hiyo imewekwa wazi, huku Ligi ya…