Category: Michezo
Serengeti Boys yaichapa Uganda kwa matuta
Tanzania imefanikiwa kumaliza nafasi ya tatu kwenye michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Uganda Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais Samia aipongeza Serengeti Girls,yaibamiza Les Bleues 2-1
Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza timu ya Serengeti Girls kwa kuibamiza Les Bleues ya Ufaransa mabao 2-1 katika michuano ya Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya Umri wa Miaka 17 (U17) katika mchezo wa Kundi D Uwanja wa Jawaharlal…
Kila la heri Yanga, Simba na Azam kesho
Bodi ya Ligi imezitakia kila heri timu za Azam FC, Simba na Yanga katika mechi zao za marudiano michuano ya Afrika kesho. Ni Simba pekee yenye matumaini makubwa ya kusonga mbele baada ya ushindi wa 3-1 ugenini dhidi ya Primiero…
Kikosi cha U23 kuingia kambini kesho
Kikosi cha timu ya taifa ya ya Vijana chini ya umri wa miaka 23 kitaingia kambini kesho kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kufuzu AFCON U23. Katika hatua nyingine, Tanzania imepangwa Kundi B pamoja na Uganda na Ethiopia katika mechi…
Serengeti Boys yatinga nusu fainali CECAFA
TIMU ya taifa ya Tanzania imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya michuano ya CECAFA U17 baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Somalia jana Uwanja wa Abebe Bikila Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Mabao ya Serengeti Boys katika mchezo huo wa…