Ligi dhaifu, Taifa Stars pia dhaifu!

Emmanuel Amunike! Alipata sifa sana wakati akiwa mchezaji lakini amejikuta akiwa garasa katika kazi ya ukocha. Sitaki kuzungumzia huko alikotoka, lakini ndani ya Taifa Stars ameshindwa kufikia malengo ya waajiri wake, nao wamemtoa kafara. Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, akaamua kuitisha mkutano, lakini ‘wababe’ wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)…

Read More

Tutakwama, tusiendelee kujidanganya

Wakati Madagascar ikifanya maajabu katika michuano ya Kombe la Mataifa Afrika iliyomalizika hivi karibuni nchini Misri, wengine tulijidanganya kuwa tupo kundi gumu. Si kujidanganya tu, bali pia tulijipa matumaini kwamba lazima tupate uzoefu ili tuweze kufikia malengo halisi tunayoyataka. Tukaitolea mfano Uganda. Eti katika michuano ya mwaka huu walifika raundi ya pili, baada ya ‘kufanya…

Read More

Watanzania wapewa somo

Wadau mbalimbali nchini wametoa maoni yao mara baada ya wiki iliyopita Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumtangaza Ettiene Ndayiragije kuwa kocha mkuu wa muda wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars. Kocha huyo anachukua mikoba iliyoachwa na raia wa Nigeria, Emmanuel Amunike, ambaye mkataba wake wa kuifundisha timu hiyo ulisitishwa baada ya…

Read More

Lampard kuanza kipimo na vigogo

Wiki iliyopita mchezaji wa zamani wa timu ya Chelsea na West Ham United, Frank Lampard, alitangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Chelsea (The Blues). Timu hiyo inayopatikana katika Jiji la London, Uingereza, imeingia mkataba wa miaka mitatu na Lampard ambaye kabla ya mkataba wake huo wa kuinoa Chelsea alikuwa kocha wa Derby Country, klabu inayoshiriki Ligi…

Read More

AFCON acha tu

Wakati michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ikiendelea nchini Misri hii leo ili kukamilisha hatua ya makundi, makundi mawili yataingia uwanjani kupepetana ili kuungana na timu nyingine waweze kufuzu hatua inayofuata ya mashindano hayo. Makundi hayo yaliyosalia ni kundi E na kundi F. Kundi E lina timu za Mali, Angola, Tunisia na Mauritania….

Read More

Viungo Stars mhh…

Taifa Stars imeanza vibaya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kukubali kipigo cha magoli 2-0 dhidi ya Senegal (Simba wa Teranga) katika dimba la Juni 30, jijini Cairo, Misri. Goli la kwanza la Senegal lilifungwa na Keita Balde katika dakika ya 28 ya kipindi cha kwanza. Bao hilo lilidumu hadi kipindi cha…

Read More