JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

UTAMU WA SIMBA, YANGA Mayele kutetema mbele ya Inonga?

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mtetemo wa Mayele ndio ‘trendi’ ya jiji, mashabiki wa Yanga wanataka kuona, wale wa Simba hawataki. Hiki ndicho kitendawili kinachosubiri jibu Jumamosi hii wakati vinara wa Ligi Kuu watakapowakaribisha watani wao wa jadi, Simba,…

Yanga yasaka rekodi ya Simba kimyakimya

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Vinara wa Ligi Kuu, Yanga, wanaisaka kimyakimya rekodi iliyowekwa na Simba miaka 12 iliyopita ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu bila kufungwa. Rekodi hiyo ya Simba ipo hatarini kwa sasa wakati ambao Yanga wanaonekana…

Tumechagua kuishi kinafiki na Manula

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Umewahi kumshuhudia Aishi Manula akiwa na siku mbaya ofisini kwake, yaani katika lango la Simba au Taifa Stars? Kwa hakika huwa anatia huruma. Ngoma za masikio yake hupokea kila neno chafu kutoka kwa mashabiki….

Kombe la Dunia Qatar 2022

Tayari mataifa yatakayoshiriki fainali za Kombe la Dunia huko Qatar baadaye mwaka huu yamekwisha kufahamika, huku nafasi chache zilizosalia zikitarajiwa kujazwa Juni 13 na 14 mwaka huu katika hatua ya mchujo (inter-confederation play-offs); pamoja na mechi kati ya Ukraine na…

Cannavaro alituachia Yondani,  Yondani ametuachia nani?

Dar es Salaam NA MWANDISHI WETU  Wiki iliyopita kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen, ametangaza kikosi chake ambacho kilitarajiwa kukusanyika na kuingia kambini Jumapili ya juzi kwa ajili ya kujiandaa na michezo yake mbalimbali. Ukikisikia…

Yawaze maisha ya Simba,  Yanga bila ‘Abramovich’ 

Dar es Salaam NA MWANDISHI WETU  Mashabiki wa soka duniani wanafahamu kwamba kwa sasa Klabu maarufu ya Chelsea ya Uingereza inapita katika wakati mgumu sana.  Wanakopita Chelsea kwa sasa kunafahamika kwa Kiitaliano kama ‘Vea De ra Rosa’ (yaani njia ya…