Category: Michezo
Nimtume nani kwa Yusuph Mlipili?
Ilikuwa Jumamosi ya Machi 17, 2018 nchini Misri. Dakika 90 zinamalizika kwa sare tasa katika dimba la Port Said katika mechi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo Al Masry ya Misri iliikaribisha Simba ya Tanzania. Ahmed Gomaa na washambuliaji…
Mbape hakamatiki
Kylian Mbape, mshambuliaji mahiri wa PSG ya Ufaransa anatajwa kuwa ndiye mchezaji ghali duniani hivi sasa akiwa na thamani ya Euro milioni 265.2, akifuatiwa na Raheem Starling wa Manchester City ya Uingereza mwenye thamani ya Euro milioni 223.7. Lakini makinda…
Kocha gani ataiweza Ligi Kuu?
Kocha anayedumu ndani ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kwa zaidi ya misimu mitatu anastahili kupewa pongezi siku ile anayopewa barua ya kufukuzwa kazi. Wengi wao wakidumu sana ni msimu mmoja tu, baada ya hapo sababu za ajira kusitishwa…
MO alitikisa kiberiti au alitikiswa?
Maswali yasiyo na majibu! Wakati Simba inalikosa Kombe la Mapinduzi, kukazuka taarifa kwamba Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘MO’, ameamua kubwaga manyanga. Si kuondoka ndani ya Simba, bali ni kujiondoa katika nafasi ya mwenyekiti na kubaki kama…
Samatta asiandike tu historia
Mpaka utakapokuwa unasoma makala hii kuna uwezekano mkubwa kuwa Mbwana Samatta atakuwa tayari amekwisha kuwa mchezaji rasmi wa Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uingereza (EPL). Anakuwa mmoja wa wachezaji ambao wamenufaika na dirisha dogo la usajili katika Bara la…
Ni wakati wa Wanyama kuondoka Tottenham
Victor Wanyama ni mmoja wa wachezaji ambao walitikisa sana katika soka kiasi cha timu kubwa kama Totttenham kumchukua katika kikosi chake, lakini leo hii Wanyama anakosa hata nafasi ya kukaa benchi pale Tottenham. Huu ni wakati muafaka kwake kuondoka na…