Category: Michezo
Nani kuibuka mchezaji bora Afrika?
Wachezaji watano wamependekezwa kuwania tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa soka barani Afrika mwaka 2018. Wachezaji wote wanacheza soka la kulipwa barani Ulaya. Wachezaji walioorodheshwa mwaka huu ni Medhi Benatia (Morocco), Kalidou Koulibaly (Senegal), Sadio Mane (Senegal), Thomas Partey…
Valencia alia na Mourinho
Nahodha wa Klabu ya Manchester United, Antonio Valencia (33), amesema Meneja wake, Jose Mourinho, amemnyang’anya kitambaa cha unahodha bila sababu ya msingi. Amesema Mourinho alisingizia kwamba yeye ni majeruhi, jambo ambalo si kweli, huku akisema huo ulikuwa ni uamuzi binafsi wa…
Sanchez anatia huruma
Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza raia wa Chile, Alexis Sanchez, mwenye umri wa miaka 29, anatajwa kutaka kuachana na klabu hiyo ikiwa ni chini ya mwaka mmoja tu tangu ajiunge nayo akitokea Klabu ya Arsenal. Septemba mwaka…
Henry aizamisha Monaco?
Nahodha wa zamani wa Klabu ya Arsenal na mchezaji wa klabu za Juventus, Barcelona, Red Bulls ya New York pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya AS Monaco inayoshiriki Ligi Kuu…
Pogba kurejea Turin?
Klabu ya ‘Kibibi Kizee cha Turin’ Juventus imo kwenye hatua za mwisho kumrudisha kiungo wake wa zamani, Paul Pogba. Mchezaji huyo kwa sasa anacheza katika Klabu ya Manchester United. Mipango ya mabingwa hao wa Italia inaanza Januari mwakani. Pogba amekuwa…
Ninataka ushindi – JPM
Rais Dk. John Magufuli, amekutana na kuwaambia wachezaji wa timu ya taifa ya soka (Taifa Stars) kwamba hafurahishwi na matokeo ya timu hiyo, hasa katika kampeni ya kufuzu kucheza fainali za mashindano ya Bara la Afrika (AFCON) mwaka 2019 nchini…