Category: Michezo
YANGA WAPO FITI KUWATUPA NJE YA MASHINDANO WAITHIOPIA LEO
Mmoja wa viongozi wa Yanga nchini Ethiopia, Hamad Islam, amesema kwamba; “Wachezaji wanafanya mazoezi mara mbili kwa siku na tuko tayari kwa mchezo. Hali ya hewa ni nzuri siyo baridi kali sana, inafanana na ya Dar ilivyo kwa sasa, mechi…
John Bocco: Lipuli Kaeni Chonjo Jumamosi
John Bocco, amesema Lipuli ijiandae kupokea kipigo kwa kuwa lengo lao kubwa ni kupata ubingwa. Mchezaji huyo ambaye jana alifunga bao la kwanza wakati Simba ikiifungaTanzania Prisons Uwanja wa Taifa, amesema mechi na Lipuli si ya kubeza lakini sisi tupo…
OKWI AMTIA HOFU AMISI TAMBWE KWA KASI YA UFUNGAJI
Staika mkongwe wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Amissi Tambwe ameanza kuingiwa na hofu ya kumuona Emmanuel Okwi wa Simba akivunja rekodi zake katika Ligi Kuu Bara huku akisema jamaa ni balaa. Tambwe, raia wa Burundi, ana rekodi…
Ruvu Shooting ilistahili kushinda Mechi Yao Dhidi ya Azam FC
Kikosi cha Ruvu Shootinga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Mabatini, Mlandizi jana. Mchezo umepigwa jana baada ya kuahirishwa juzi Alhamis kufuatia mvua kali kunyesha iliyosababisha maji…
Simba Sc Yaendelea Kutunza Rekodi ya Kutokufungwa Ligi Kuu Bara
SIMBA SC imeendelea kushikiria record yake ya kutokufungwa kwenye Ligi Kuu baada ya leo kuifunga Mbeya City kwa Mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ushindi huo unawafanya Simba wafikishe pointi 55 baada ya kucheza mechi 23, moja…
NCAA YADHAMINI NGORONGORO MARATHON
Mashindano ya Ngorongoro Marathon 2017, ambayo kwa mara ya kwanza yalidhaminiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Mamlaka hiyo inadhamini kwa mara ya pili mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa). Na Yusuph Mussa, Tanga MAMLAKA ya Hifadhi ya…