Category: Maoni ya Mhariri
Kunahitajika mfumo mpya kudhibiti manabii, mitume
Tumeuanza mwaka kwa bahati mbaya. Watanzania zaidi ya 40 wamefariki dunia katika matukio mawili makubwa. Tukio la kwanza ni la vifo vya Watanzania 20 mkoani Lindi vilivyosababishwa na mafuriko. Tukio la pili ni la vifo vya Watanzania wengine kwa idadi…
Wako wapi waliotupotosha kwenye madini?
Baada ya porojo nyingi na propaganda duni siku za hivi karibuni kuwa makubaliano kati ya serikali na Kampuni ya Barrick Gold Corporation ya Canada yamekwama, hatimaye pande hizo mbili zimekata mzizi wa fitina kuhusu suala hilo. Hii ni baada ya…
NIDA ijirekebishe, iende na wakati
Zoezi la usajili wa laini za simu kwa kutumia alama za vidole na Kitambulisho cha Taifa limeibua uzembe uliofanywa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa kiasi kikubwa watu wengi wameshindwa kusajili laini zao za simu kwa wakati kutokana…
Yanahitajika Mapinduzi mengine Zanzibar
Asubuhi ya Januari 12, 1964, sultani wa Kiarabu na watu wake Zanzibar waliingiwa mshangao pale Waafrika ambao hadi wakati huo walionekana na kudhaniwa kuwa ni dhaifu, walipovamia kasri lake kumwondoa madarakani. Mshangao huo uliwapata pia baadhi ya Waafrika ambao waliaminishwa…
Msimamo wa Jaji Mkuu kuhusu dhamana upewe kipaumbele
Katika miaka ya hivi karibuni kosa la utakatishaji fedha limesababisha watu wengi kuwekwa mahabusu kwa kipindi kirefu, kwa sababu kwa mujibu wa sheria, kosa hilo halina dhamana. Ingawa serikali ilikuwa na dhamira njema ilipotunga sheria hiyo, lakini baadhi ya wataalamu…
Uchaguzi Mkuu usituvuruge
Leo tunaumaliza mwaka 2019 na kesho tutaingia mwaka 2020, ambao tunaamini utakuwa ni mwaka utakaotawaliwa na harakati za kisiasa, ikizingatiwa kuwa ni mwaka ambao Tanzania itafanya Uchaguzi Mkuu. Kwanza, tuwatakie Watanzania wote heri ya mwaka 2020, tukiwaombea kwa Mungu wapate…