Category: Maoni ya Mhariri
Tunatengeneza bomu la kisiasa
Watu wengi walishitushwa na kushangazwa na sababu zilizotumika kuwaengua watu wengi walioomba kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku chache zijazo. Kinachoshitua ni kuwa karibu wote walioenguliwa kuwania nafasi hizo ni wanasiasa kutoka…
Mikopo elimu ya juu si hisani
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), imekwisha kutoa awamu mbili za mikopo kwa baadhi ya wanafunzi walioomba. Mwaka huu wa fedha wa 2019/2020 Sh bilioni 450 zimetengwa kwa ajili ya mikopo kwa wanafunzi wanaoanza mwaka wa…
ATCL isirudie makosa, itakufa
Mwishoni mwa wiki iliyopita serikali ilipokea ndege mpya kubwa aina ya Boeing Dreamliner 787-800 ambayo imenunuliwa na serikali na kukodishwa kwa ATCL, ikiwa ni ndege ya nane kununuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano tangu iingie madarakani. Ujio wa ndege…
Tujitathmini aliyotuachia Nyerere
Wiki hii Tanzania inamkumbuka mwasisi wake, Mwalimu Julius Nyerere. Tukio hili ni la kila mwaka lakini mwaka huu linafanyika ikiwa imepita miaka 20 tangu kufariki dunia kwa kiongozi huyo ambaye ndiye aliyeweka misingi ya jinsi ya kutawala na kuongoza nchi…
Tushirikiane kupigana vita ya uchumi nchini
Rais John Magufuli amekuwa akisisitiza mara kwa mara kuwa Tanzania na Watanzania si maskini. Na kwa sababu hiyo anawataka wananchi wasijione kuwa ni maskini, badala yake wajione kuwa ni matajiri kwa sababu wamejaliwa rasilimali zote. Tunaungana na Rais Magufuli tukiamini…
Hongera Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amejipambanua kama mmoja wa viongozi hodari wanaofuatilia kwa karibu utendaji kazi wa watumishi wa umma. Wengi watakubali kuwa waziri mkuu kila alipofika ameleta mtikisiko kwa viongozi wazembe, wala rushwa, wabadhirifu na wasiowajibika kwa mujibu wa miongozo,…