Category: Maoni ya Mhariri
Hongera RC Mtaka
Mkuu wa Mkoa (RC) wa Simiyu, Anthony Mtaka, ametoa msimamo wa namna alivyodhamiria kuubadilisha mkoa huo ili uendane na ‘Tanzania ya Viwanda.’ Kabla na baada ya kusifiwa na Rais John Magufuli, aliyemtaja kama RC bora nchini, Mtaka ameendelea kuonyesha maono…
IGP Sirro: Kuna urasimu mkubwa umiliki wa silaha
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, ametoa mwito kwa wananchi wenye kustahili kuwa na silaha kuomba wamilikishwe ili wajilinde dhidi ya wahalifu. IGP Sirro alitoa kauli hiyo alipozungumza na waandishi wa habari, ambapo pamoja na mambo…
Wizara isiwapuuze Botswana
Katika gazeti la leo tumechapisha habari za uchimbaji wa madini nchini Botswana na jinsi wakazi wa nchi hiyo wanavyonufaika. Tumempeleka mwandishi Botswana kufuatilia habari hizo na amekuja na maelezo yenye kutia moyo kuwa nchi yetu ikipata watumishi wanaoitanguliza nchi, Tanzania…
Asante Mahakama Mkoa wa Mwanza
Miongoni mwa habari tulizozipa kipaumbele kwenye toleo hili ni ile inayohusu uamuzi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kutupilia mbali kesi dhidi ya waandishi wa habari wawili waliobambikiwa kesi. Waandishi hao walishitakiwa kwa kile kinachodaiwa kwamba walijifanya ni maofisa wa…
WENGER AWATULIZA MASHABIKI WA ARSENAL, AIBABUA AC MILLAN 3-1
Baada ya Arsenal jana kuitandika AC Millan, kwa mabao 3-, uwenda mashabiki wa Arsenal wanaweza kutuliza mzuka wa kumlazimisha Mzee wenga kung’atuka kwenye timu ya Arsenal. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck ambaye alifunga magoli mawili na goli la…
Tusipuuze tamko la EU
Wiki iliyopita Umoja wa Ulaya umetoa tamko lenye kulitahadharisha taifa letu kuepuka matukio yasiyo na siha njema kwa afya ya taifa. EU wamesema wanafuatia ongezeko la matukio ya kisiasa yenye viashiria vya ukatili na vitisho Tanzania. EU kwa ushirikiano na…



