Category: Maoni ya Mhariri
Miaka 4 ya JAMHURI, asanteni sana Watanzania
Desemba 6, 2015 Gazeti la JAMHURI lilitimiza miaka minne tangu lilipoanzishwa tarehe kama hiyo mwaka 2011. Wahenga walisema penye nia pana njia, na mgaa gaa na upwa hali wali mkavu! Kudumu kwenye soko lenye ushindani mkubwa wa vyombo vya habari…
Polisi hawakutenda haki
Jeshi la Polisi limejipatia sifa kubwa wakati wa kampeni, siku ya upigaji kura na hata wakati wote wa kuhitimishwa kwa shughuli ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Kwa mara ya kwanza, Polisi wa Tanzania walionekana weledi, wavumilivu na wenye staha….
Siasa za mauaji zisipewe nafasi
Tumeshitushwa na aina ya kifo cha Alphonce Mawazo – Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita. Amekutwa na mauti kwa kile kinachodaiwa kuuawa kinyama kwa kushambuliwa na silaha za jadi ikiwamo kukata kichwa kwa shoka. Baadhi…
Z’bar maliza mzozo ili Magufuli afanye kazi
Miongoni mwa habari zilizochapishwa kwenye gazeti hili zinazungumzia Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad. Katika habari hiyo, Maalim Seif ametajwa sehemu mbili. Kwanza ni namna ambavyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kinavyohaha kuweka mambo sawa…
Hongera Dk. John Magufuli
Dk. John Magufuli, wiki hii anaapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anaanza kazi ngumu aliyoiomba kwa ridhaa yake mwenyewe, ya kuwatumikia Watanzania wote. Kwenye kampeni zake, Dk. Magufuli, aliomba kura huku akiahidi kuwa…
Chonde chonde Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, jana aliwaita waandishi wa habari na kuwapa takwimu za ushindi anaodai kuupata kwenye Uchaguzi Mkuu. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Hamad anaongoza dhidi ya mpinzani wake mkuu, Rais Dk. Ali Mohamed Shein wa…