JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Bunge linaloendeshwa kwa udini ni hatari

Katika gazeti hili la JAMHURI toleo lililopita lilikuwa na habari yenye kichwa “Udini wapasua Bunge” kutokana na hali iliyojitokeza katika kikao cha Bunge siku ya Alhamisi iliyopita, ambako mgawanyiko wa kidini miongoni mwa wabunge ulijitokeza.   Siku hiyo wakati akiahirisha…

Wanaowalinda wageni haramu wachukuliwe hatua

Katika gazeti letu la JAMHURI toleo la wiki iliyopita, tulichapisha habari ya uchunguzi iliyokuwa ikimhusu raia wa Pakistan, Ajaz Ahmed, mfanyabiashara haramu ya kuuza binadamu aliyefukuzwa nchini na kurejea tena kwa jeuri akiendelea na biashara hiyo. Ahmed alifukuzwa nchini Oktoba…

Wavamizi wa ardhi wasifumbiwe macho

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kubomoa nyumba ambazo zimejengwa kwenye maeneo ya wazi na viwanja vilivyovyamiwa na watu wasio wamiliki halali wa viwanja hivyo.

Wavamizi wa maeneo ya wazi waadabishwe

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kwa kushirikiana na viongozi waadilifu katika Jiji la Dar es Salaam, wamelikomboa eneo la wazi lililovamiwa na mfanyabiashara na kujengwa jengo la biashara.

Wabunge msiwaangushe Watanzania

Kwa mara nyingine, wiki hii Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanakabiliwa na mtihani wa kuthibitisha kama kweli ni wawakilishi halali wa Watanzania, au la!

Biashara ya dawa za kulevya ikomeshwe kwa vitendo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, amesema Serikali inafanya uchunguzi ili kujiridhisha kama watu 19 waliokamatwa nchini China na dawa za kulevya ni Watanzania.