Category: Maoni ya Mhariri
Biashara ya dawa za kulevya ikomeshwe kwa vitendo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, amesema Serikali inafanya uchunguzi ili kujiridhisha kama watu 19 waliokamatwa nchini China na dawa za kulevya ni Watanzania.
Rais chukua hatua, nchi inamalizwa
Watu wengi wameshtushwa na habari kwamba Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetumia Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho kwa kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Tuwe makini kuelimisha wananchi Katiba Mpya
Tayari Bunge Maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Rasimu hiyo iko tayari kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura baada ya kupata akidi ya theluthi mbili iliyotakiwa kisheria kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Wanaoiponda UDA wamekosa uzalendo
Tumetafakari kwa kina juu ya taarifa zinazolaumu “Serikali kubariki ufisadi wa UDA.” Lawama hizo hutolewa na Watanzania wachache sana wanaopinga Kampuni ya wazawa ya Simon Group kuuziwa hisa za UDA.
Hoja za msingi malalamiko hayo ni kwamba Simon Group haikufuata taratibu na sheria, na pia kwamba haikuzingatia thamani halisi ya shirika hilo. Tunachofahamu sisi kwa sasa ni kwamba uuzwaji huo uko sahihi na hakuna kinachoweza kubadilika, kwani taratibu na sheria zote zilizingatiwa kikamilifu wakati wa uuzaji wa hisa za UDA kwa Simon Group.
Ahsante TMF, Kazi ipo kwetu
Miongoni mwa habari zilizopamba gazeti hili leo ni taarifa ya Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), kutoa ruzuku ya Sh. bilioni 1.7 kwa vyombo vya habari 16.Awali ya yote tunaupongeza mfuko huo kwa namna inavyoratibu shughuli zake na…
- Mawaziri MOESNA wapongeza maboresho Bandari Dar
- Prof. Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa mawaziri Afrika Kusini
- CBE Kufanya Kongamano la Biashara na Uchumi Mwanza
- Dkt. Mwigulu: Wananchi wa miji midogo yenye mazingira ya vijijini waunganishiwe umeme kwa sh. 27,000
- Maeneo ya mijini yenye sura ya vijijini kunufaika na umeme kwa shilingi 27,000
Habari mpya
- Mawaziri MOESNA wapongeza maboresho Bandari Dar
- Prof. Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa mawaziri Afrika Kusini
- CBE Kufanya Kongamano la Biashara na Uchumi Mwanza
- Dkt. Mwigulu: Wananchi wa miji midogo yenye mazingira ya vijijini waunganishiwe umeme kwa sh. 27,000
- Maeneo ya mijini yenye sura ya vijijini kunufaika na umeme kwa shilingi 27,000
- STAMICO Yapandisha Mapato kutoka Sh bilioni 1.3 hadi 147.8
- Dk Mwigulu aagiza uthamini ukamilishwe, wananchi walipwe fidia kupisha uwekezaji Bagamoyo
- Mbeya yazizima kwa shangwe, wananchi wajitokeza kwa wingi kumpokea Makamu wa Rais
- STAMICO yaongeza mapato hadi bilioni 147.8/-, mageuzi yachangia
- Serikali kuanza utafiti wa madini eneo kubwa la nchi kwa kutumia fedha za madini
- Tanzania kinara COP12
- Ndejembi aridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa kituo cha umeme Iganjo, Mbeya
- Dk Samia apokea Hati za Mabalozi wanne wanaowakilisha nchi zao Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam
- Dk Muyungi : Ushirikishwaji jamii utunzaji misitu waleta tija biashara ya kaboni
- Rais Dk Mwinyi ashiriki ufunguzi mkutano wa viongozi wa dunia kuhusu bioanuai COP17