JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

‘Happy Birthday’ JAMHURI

Jana Desemba 6, 2021 ilitimia miaka 10 tangu toleo la kwanza la Gazeti la JAMHURI lilipoingia kwenye orodha ya magazeti yanayochapishwa, kusambazwa na kuuzwa ndani na nje ya nchi yetu. Desemba 6, 2011 inabaki kuwa siku muhimu kwetu waanzilishi wa…

Mapendekezo ya PAC yazingatiwe

Siku chache zilizopita Tanzania imekumbwa na taharuki baada ya kutangazwa rasmi kuwapo kwa mgawo wa umeme na maji katika miji na majiji kadhaa. Taarifa hii ya kushitusha imetokana na ukosefu wa mvua za vuli na za msimu zilizotarajiwa kunyesha katika…

Migogoro hii ya ardhi hadi lini?

Migogoro ya ardhi nchini ni miongoni mwa masuala yanayolitia doa taifa huku ikisababisha chuki na uhasama kati ya jamii moja na nyingine au kati ya mtu na mtu. Serikali iliunda kamati maalumu ya mawaziri wanane wa kisekta kutatua migogoro hiyo…

Wananchi washirikishwe kutoa maoni miaka 60 ya Uhuru wetu

Serikali imetangaza utaratibu katika kuelekea kwenye kilele cha sherehe za miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika (Tanzania Bara) ifikapo Desemba 9, mwaka huu. Tunaupongeza utaratibu wa wizara kujitokeza kuainisha mafanikio ya kisekta yaliyopatikana kwa muda wote huu wa miongo sita. …

Jawabu si kuwafukuza wahuni, bali kuwakabili

Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dar es Salaam, kinakusudia kuzuia pikipiki za miguu miwili na miguu mitatu kutofika katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Baada ya kutolewa ilani hiyo, Mkuu wa Mkoa huo, Amos Makalla, amesimamisha kwa muda…

Hatua hii ya Serikali iwe ya kudumu

Serikali imeamua kwa makusudi kuwapanga wafanyabiashara wadogo na jana ilitarajiwa kuwa siku ya mwisho kwa wafanyabiashara hao maarufu kama wamachinga wa Dar es Salaam kuondoa vibanda vyao katika maeneo yasiyo rasmi. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa maelekezo ya…