Category: Maoni ya Mhariri
Tumuenzi Mwalimu kwa kusapoti kampeni ya Samia ya maendeleo
Wakati taifa likiwa katika wiki ya maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Rais Samia Suluhu Hassan amezindua kampeni ya maendeleo na mampambano dhidi ya UVIKO-19. Ni kampeni ya aina yake itakayodumu…
Wakati umefika Serikali imalize kilio cha wazee
Umoja wa Mataifa (UN) umeitenga Oktoba Mosi ya kila mwaka kuwa Siku ya Wazee Duniani, ambapo mataifa mbalimbali huiadhimisha kwa namna tofauti, ikiwamo kukumbushana haki za wazee. Kaulimbiu ya siku hii kwa mwaka huu ni ‘Safari ya kuzeeka kwa usawa’,…
Rais Samia safi TANESCO
Wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa kuboresha Shirika la Umeme nchini (Tanesco). Amemteua Omari Issa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Tanesco. Amemteua Maharage Chande kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco. Kabla ya uteuzi huo Chande alikuwa Mkurugenzi…
Makabwela wengi wanaumia mahabusu bila kuwa na hatia
Mfanyabiashara James Rugemalira ameachiwa huru baada ya kuwekwa rumande kwa miaka zaidi ya minne akikabiliwa na mashitaka ya uhujumu uchumi na mengine kadhaa yaliyokosa ushahidi. Kuachiwa kwake kumefufua mjadala miongoni mwa Watanzania, hasa wanaokerwa na mfumo wa ucheleweshwaji wa mashauri…
Kauli ya Spika Ndugai isiachwe ipite hivi hivi
Spika Job Ndugai, ametoa kauli inayohitaji kufanyiwa kazi na mamlaka zinazohusika. Akizungumza wakati wa kuahirishwa Mkutano wa Bunge jijini Dodoma mwishoni mwa wiki, Spika Ndugai alishangazwa na namna baadhi ya watumishi wa serikali wasivyotulia katika makao makuu hayo ya nchi….
IGP amekwisha kuhukumu,iundwe tume huru
Askari Polisi watatu, mlinzi wa kampuni binafsi na mtu aliyetajwakwa jina la Hamza, wamefariki dunia katika tukio la kurushianarisasi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.Kutokana na mauaji hayo yaliyotekelezwa na Hamza, Rais SamiaSuluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguziwa…



