JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Chanjo ya corona ni hiari, lakini muhimu

Julai 28, mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua chanjo ya Covid-19 (corona). Katika uzinduzi huo uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, Samia, amechanjwa chanjo ya Johnson & Johnson inayotolewa kwa dozi moja ili kujikinga dhidi ya maambukizi ya ugonjwa…

Kuhifadhi misitu kuanze  kwa udhibiti bei ya gesi

Bei ya gesi asilia ambayo imegeuzwa kuwa kimiminika (LNG) inayotumika kwa wingi mijini kwa ajili ya kupikia, imepanda katika siku za karibuni. Kupanda kwa bei ya gesi hii kunakuja wakati Watanzania wakisubiri mustakabali wa malalamiko yao kuhusu kupanda kwa gharama…

Msimchonganishe Rais na wananchi

Rekodi ya utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilianza kujionyesha wazi tangu alipoapishwa kushika wadhifa huo. Watanzania na walimwengu kwa ujumla wao mara moja walianza kuonja pepo ya haki miongoni mwa wananchi.  Kwa muda mfupi, mamia ya watu waliokuwa…

Baada ya Burundi tuelekee DRC

Tanzania imeendelea kuimarisha uhusiano wa kidugu na kibiashara na mataifa jirani baada ya wiki iliyopita Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku mbili nchini Burundi. Nchi hiyo ni moja ya majirani wanaopakana na Tanzania upande wa magharibi, ikiitegemea sana…

Hili la Kariakoo litufundishe  kuheshimu miundombinu

Kuungua kwa soko la kimataifa la Kariakoo ni pigo kwa uchumi wa Jiji la Dar es Salaam na taifa kwa ujumla, ingawa kwa hakika ni msiba mzito kwa mfanyabiashara mmoja mmoja aliyewekeza katika soko hilo. Kwa miaka mingi eneo zima…

Hongera DPP, lakini…

Amani ni tunda la haki. Bila haki amani haipo. Bila haki manung’uniko na vilio hutamalaki. Tunaipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kusimamia suala la haki, na kwa namna ya pekee tunaipongeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kwa kuonyesha…