Category: Afya
Tanzania, Algeria kushirikiana katika upatikanaji dawa salama
Tanzania na Algeria zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha uhusiano kwenye upatikanaji na uzalishaji wa dawa zenye usalama, ubora na ufanisi katika nchi hizo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Dawa nchini Algeria alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wizara ya Afya…
Nusu saa inakutosha tembea pekupeku kila siku
KWA mujibu wa utafiti daktari wa masuala ya afya ya binadamu Hamisi Kote Ali, amegundua kuwa, kugusa ardhi moja kwa moja kwa ngozi ya miguu husaidia kusawazisha chaji ya umeme mwilini. Anasema hali hiyo inajulikana kama ‘earthing’ au ‘grounding’, inaweza…
ACT Wazalendo yaguswa kusitishwa kwa misaada ya afya na Serikali ya Marekani
ACT Wazalendo imeguswa na uamuzi wa Serikali ya Marekani kusitisha kwa muda kwa mikopo na ruzuku za kusaidia huduma za afya Duniani, hatua inayoweza kuathiri mamilioni ya Watanzania waliowekwa kwenye utegemezi wa huduma za afya zinazofadhiliwa na mashirika ya nje….
Malezi na makuzi mabovu yalivyokiini cha ukatili katika jamii
Na Daniel Limbe,Geita “Samaki mkunje angali mbichi” ndivyo wasemavyo wahenga wakimaanisha mtoto mwema,mwenye hekima, busara na maarifa huandaliwa kingali mdogo. Maneno hayo yanauweka bayana ukweli wa maisha ya mwanadamu katika malezi na makuzi ya mtoto hata anapokuwa mtu mzima. Ukweli…
Serikali iungwe mkono udhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Kibaha MEI 9 mwaka 2024 Tanzania imezindua kampeni ya awamu ya pili ya “Mtu ni Afya” baada ya ile ya kwanza kutamatika kwa mafanikio makubwa kutokana na baadhi ya magonjwa yaliyokuwa yakiwasumbua wananchi takribani miaka 50…
JKCI yaokoa milioni 600 upasuaji watoto 40
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumla ya Sh milioni 600 zitaokolewa baada ya watoto 40 kufanyiwa kupasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Shirika la Muntada Aid la nchini Uingereza. Gharama ya…