Category: Siasa
Vituko vya Jeshi la Polisi
*Lakodi kina mama ili wawapekue watuhumiwa Kituo cha Polisi Mbuguni, Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kinalazimika kukodi wanawake wanaoishi jirani na kituo hicho ili kuwafanyia upekuzi watuhumiwa wanawake kabla ya kuwaweka mahabusu. Kukodiwa kwa kina mama majirani kunatokana na…
Bilionea akubaliwa kujenga uwanja Serengeti
Mamlaka zote za Serikali zimeridhia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika
*Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno
Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Habari mpya
- TARURA kuanza kutangaza zabuni za mwaka 2025/2026
- Tanzania yanadi fursa za biashara na wawekezaji Vietnam
- Tume ya TEHAMA ilivyoshiriki kwa mafanikio sherehe za Mei Mosi
- Halmashauri zatakiwa kusimamia sheria ya mazingira
- Man United na Tottenham zaona ‘mwezi’ michuano ya Europa
- Kujiondoa kwa Marekani kutatingisha pakubwa miradi ya kiafya – WHO
- Wizara ya Fedha yapokea tuzo mbili za ushindi sherehe za Mei Mosi
- Serikali yatoa bilioni 15 kwa dawa na vifaa tiba Tabora
- Mtoto mchanga wa siku 14 aibiwa mtaa wa Iyela One jijini Mbeya
- Waandishi wazingatie maadili na sheria za uandishi
- Same yachukua hatua kudhibiti migogoro ya ardhi
- Nyongeza ya mshahara yapokelewa kwa shangwe na wafanyakazi Njombe
- Baraza la Maaskofu Katoliki walaani tukio la uovu la kushambuliwa Padri Kitima
- Rais Samia apandisha viwango vya mishahara kwa asilimia 35.1
- Jiungeni na vifurushi vya NHIF- Rais Samia