Category: Siasa
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Habari mpya
- TMA : Mvua kubwa yaathiri miundombinu ya SGR, kuendelea kunyesha kwa mikoa 20
- TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kwa mikoa 8 nchini
- Simbachawene : Mabadiliko makubwa kuligusa Jeshi la Polisi
- Mwakinyo amchapa Mnigeria kwa KO
- ‘Kituo cha kupoza umeme Handeni kuleta mapinduzi ya uwekezaji’
- Watumia jina la Mchengerwa kuomba michango ya harusi kitapeli
- Mke wa mchungaji ajinyonga hadi kufa, chanzo chadaiwa kuwa ni madeni
- Serikali kufanya uchunguzi wa kina Hospitali ya Temeke
- Katimba ataka watanzania wenye changamoto za mirathi kutumia huduma za RITA
- Serikali kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu Mwakitolyo Shinyanga
- ‘Rushwa janga kubwa linaloharibu mfumo wa utoaji haki’
- Mambo: Demokrasia haijengwi kwa mashinikizo, vitisho
- DC Mpogolo: Sekondari Kitunda itakamilika kabla ya shule kufunguliwa
- Mchengerwa : Tanzania hatutaki kuwa soko duni la dawa
- Mndolwa akagua bwawa la ujenzi Mkomanzi, ujenzi wafikia asilimia 85