Category: Siasa
Yah: Uhuru wa waganga wa kienyeji Tanzania
Siku kadhaa zilizopita, tumesikia baadhi ya miswada ya sheria ikiwa inafanyiwa kazi, kitu kizuri zaidi ni jinsi ambavyo sheria zilivyobainishwa na kuwa sheria nzuri kwa maana ya ukali wake kwa jamii ambayo ikikosea kufuata masharti itawajibika na adhabu hiyo. …
Tumkumbuke, tumuenzi Sheikh Abeid Karume
Leo tarehe 7 Aprili ni siku ya huzuni kwa Watanzania tunapokumbuka tukio la kikatili la kuuawa kwa mwanamapinduzi, mkombozi na mpigania haki ya Mwafrika na mpenda amani duniani, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni majira ya jioni, Aprili 7, 1972…
Ya kale siyo yote ni dhahabu
Leo tunatimiza miaka 33 tangu kuuawa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni mojawapo ya matukio makubwa katika historia ya Zanzibar na historia ya Tanzania kwa ujumla. Maadhimiisho kama haya yanakuwa na…
Sababu za kufeli hizi hapa
Umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa muda…
Lowassa: Ninayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
Hakuna ubishi kwamba minong’ono juu ya matamanio ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, au kutajwa kuwania urais, imeshika kasi. Lowassa, Mbunge wa Jimbo la Monduli (CCM), amekuwa akitajwa kuwa miongoni mwa wanasiasa wenye nguvu kubwa na matamanio ya kuiongoza…
Jukumu letu ni kuboresha TPDC – Mwanda
Kutokujiamini na kushindwa kuziendesha taasisi za umma nchini kwenda sawa na wakati, kumechangia kwa kiasi kikubwa mashirika mengi kufa na kuporomoka kiuchumi. Watafiti wa masuala ya kiuchumi wanasema kujiamini na ubunifu ni nyenzo muhimu kwa pande mbili kati ya…