Category: Siasa
MAANDIKO YA MWALIMU NYERERE
Tujisahihishe: Mwalimu Nyerere
UMOJA wa kundi lolote ni sawa sawa na umoja wa viungo mbalimbali vya mwili au mtambo. Viungo vya mwili havina budi vitii kanuni zinazoviwezesha kufanya kazi yake sawa sawa. Lakini haviwezi kutii kanuni hizo kama haviko katika hali ya afya njema. Mara kiungo kimoja kinapokuwa hakina afya safi, huanza kuvunja kanuni za kazi na mwili mzima hupata taabu.
KAULI ZA WASOMAJI
Wanahabari tembeleeni pia vijijini
Waandishi wa habari jaribuni kutembelea pia na maeneo ya vijijini kwa sababu huko kuna matukio mengi ya kutisha na kusikitisha, lakini vyombo vya habari vimekuwa havielekezi nguvu kubwa vijijini kama vinavyofanya maeneo ya mijini.
Obe Mlemi, Mugumu – Serengeti
0768 235 817
JAMHURI YA WAUNGWANA
Wakati mwingine Wakristo
wanaanzisha chokochoko
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imewasilisha mapendekezo, ikitaka kubadilishwa kwa siku ya kupiga kura ya maoni kutoka siku ya ibada – Jumapili. Mapendekezo ya CCT yamewasilishwa kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala. Mwakilishi wa CCT, Mchungaji Lazaro Rohho, anasema mabadiliko hayo yanatakiwa kuwekwa kwenye muswada wa kura ya maoni unaotarajiwa kuwasilishwa katika kikao kijacho cha Bunge.
Serikali imejipanga kuiangusha CCM
Kama tujuavyo, Serikali ya leo ya Tanzania ni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni sawa na kusema kwamba Serikali ni mtoto wa CCM.
FIKRA YA HEKIMA
Tindikali imetuchafua, kauli za polisi ni zilezile
Wiki iliyopita, nchi yetu ilipata doa lenye taswira ya kuichafua mbele ya uso wa Dunia. Raia wawili wa Uingereza, Kate Gee (18) na Kirstie Trup (18) walikumbwa na mkasa wa kumwagiwa tindikali huko Mji Mkongwe, Zanzibar.
KAULI ZA WASOMAJI
CCM Rukwa tunataka serikali tatu
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Rukwa wamekwenda kinyume na msimamo wa chama chao na kutaka uwepo wa serikali tatu maana katiba ni kwa maslahi ya Taifa na sio wana CCM.