Category: Siasa
NUKUU ZA WIKI
Mwalimu Nyerere: Wanadamu huongozwa na sheria
“Nchi zote duniani huongozwa na wanadamu na si malaika. Wanadamu hawa huongozwa na sheria na si kwa akili zao wenyewe.”
Haya ni maneno ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius K. nyerere.
Misitu ya Asili na Maendeleo ya Jamii Tanzania (1)
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo tukiwamo sisi wanadamu, kwa mema mengi mno anayonitendea na hasa kwa kutujalia uhai hadi leo hii.
Wachina hufanya chochote wanachotaka
Juni 1964 Tanzania ilitembelewa kwa mara ya kwanza na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka China. Alikuwa Wazari Mkuu Chou en-Lai.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
TUFUMUE FIKRA ZA KIMASIKINI KWA WATANZANIA!
Wiki iliyopita Waziri mwenye dhamana katika wizara ya kazi, ajira na maendeleo ya vijana aliwasilisha bajeti ya wizara yake.
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Tunamtaka rais anayechukia rushwa
“Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais atakayelitambua hilo, atakayeichukia rushwa hata ukimwangalia aoneshe kweli anaichukia rushwa, sio rais anayesema kweli rushwa ni adui wa haki… lakini ukimwangalia usoni unashangaa na kusema… aaaah kweli huyu?”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
- JKCI, UNA VOCE PER PADRE PIO wasaini mkataba kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo Afrika
- Mkuu wa Majeshi Uganda awatishia raia wanaompinga babake
- Zelenskiy agomea mazungumzo baada ya Putin kutotokea
- Maboresho ya Rais Samia, yaukuza thamani mfuko WCF wafikia bilioni 748/-
- Rais wa Finland atembelea makumbusho ya Taifa
Habari mpya
- JKCI, UNA VOCE PER PADRE PIO wasaini mkataba kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo Afrika
- Mkuu wa Majeshi Uganda awatishia raia wanaompinga babake
- Zelenskiy agomea mazungumzo baada ya Putin kutotokea
- Maboresho ya Rais Samia, yaukuza thamani mfuko WCF wafikia bilioni 748/-
- Rais wa Finland atembelea makumbusho ya Taifa
- Mauzo ya bidhaa nje ya nchi yaongezeka kwa asilimia 61.2 — Dk Jafo
- Mchango wa Madini katika Pato la Taifa wazidi kuimarika
- Wizara ya Madini yahamia rasmi Mtumba
- CRB yatakiwa kuchukua hatua kwa wakandarasi wanaoshindwa kufuata masharti
- Mpango atoa rai kwa viongozi kushirikana na taasisi za misitu na utafiti
- Rwanda: Kituo cha tiba ya bangi Rwanda mbioni kukamilika
- Haya ndio majina maarufu zaidi waliyopewa watoto wa 2024
- Muhimbili yakabiliwa na upungufu wa damu kwa asilimia 60
- Wakandarasi wazembe kuchukuliwa hatua
- Udanganyifu soko la bima nchini wapatiwa tiba