Category: Siasa
Misitu ya Asili na Maendeleo ya Jamii Tanzania (1)
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo tukiwamo sisi wanadamu, kwa mema mengi mno anayonitendea na hasa kwa kutujalia uhai hadi leo hii.
Wachina hufanya chochote wanachotaka
Juni 1964 Tanzania ilitembelewa kwa mara ya kwanza na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka China. Alikuwa Wazari Mkuu Chou en-Lai.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
TUFUMUE FIKRA ZA KIMASIKINI KWA WATANZANIA!
Wiki iliyopita Waziri mwenye dhamana katika wizara ya kazi, ajira na maendeleo ya vijana aliwasilisha bajeti ya wizara yake.
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Tunamtaka rais anayechukia rushwa
“Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais atakayelitambua hilo, atakayeichukia rushwa hata ukimwangalia aoneshe kweli anaichukia rushwa, sio rais anayesema kweli rushwa ni adui wa haki… lakini ukimwangalia usoni unashangaa na kusema… aaaah kweli huyu?”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Waandishi vijana wanaua uhuru wa habari
Tunapozungumzia uhuru wa habari tunakuwa na maana mbili. Kwanza, uhuru wa vyombo vya habari kutoa habari zilivyo bila kutishwa au kusumbuliwa. Pili, uhuru wa wananchi kupewa habari zilivyo bila vikwazo au kufichwa.
Habari mpya
- TMA yatoa utabiri wa mvua za Vuli, yawashauri wananchi kuchukua tahadhari
- CCM tunasogeza huduma kwa wananchi sio maneno – Dk Biteko
- Samia aahidi kuchapa kazi kwa kasi ileile
- Bashiru ataja sababu tatu CCM kushinda
- Samia aagiza CCM kuvunja makundi
- NMB yakabidhi jezi za milioni 36 kwa SHIMIWI
- Viongozi CCM tuhimize wananchi kupiga kura – Dk Biteko
- WHO yaapa kubakia Gaza
- Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Mataifa waanza
- Chumi : Afrika kupatiwa fedha za mabadiliko ya tabia nchi
- Mtanzania ateuliwa kuwa meneja wa Bolt Afrika Kusini
- Kweli ni Simba Day, furaha ya ushindi 2-0
- Serikali yasisitiza ushirikiano kutekeleza programu ya kizazi chenye usawa
- Dk Samia akizungumza na wananchi Nzega
- Bashe aomba mkoa mpya