
Tanzania, Israel kushirikiana kwenye ujuzi wa uzalishaji mbegu
Nchi za Tanzania na Israel zimeanzisha mazungumzo kuelekea katika makubaliano ya kushirikiana katika maeneo ya uzalishaji wa mbegu na kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Hayo yamezungumzwa jana Jijini Tel Aviv,Israel wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Kilimo wa Israel Oded Forer na Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mh. Anthony Mavunde….