JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Hatua za kufuata unapoagiza mzigo wako ng’ambo

Bandari imejipanga kuhakikisha mteja aliyeagiza mzigo nje ya nchi anapata mzigo wake kwa wakati bila usumbufu. Katika toleo hili tunakuletea hatua ambazo mwagizaji wa mzigo kupitia bandari zetu anapaswa kuzifuata ili aweze kuagiza na kuupata mzigo wake kwa njia rahisi. …

Ndugu Rais, unayo nafasi ya kipekee

Ndugu Rais, Malcolm X, mwanaharakati wa haki za weusi huko Marekani alipata kusema: “Nitaufuata ukweli bila kujali nani anausema. Nitafuata haki bila kujali inampendelea nani au ipo dhidi ya nani.”  Na kwa sababu hii, baba ninasema kwa sauti kubwa kuwa…

Mstaafu akopa mil. 1/- alipishwa mil. 39/-

Umekisia kisa cha Bi Juliana Kant Nyitambe, mkazi wa mkoani Mara na mwalimu mstaafu wa Shule ya Msingi Kotwo iliyopo wilayani Rorya ambaye alikopeshwa Sh 1,000,000 na kulipishwa kwa lazima Sh 39,000,000?  Wakati anakopa aliambiwa riba ya mkopo huo ni…

Unayajua haya kuhusu Ukristo na Uislamu?

Makala yetu leo yahitaji kwanza kabisa kujibu swali; Nini Ukristo? Nini Uislamu? Bila ya kuzama kwenye fasili za mabingwa wa teolojia na historia za dini, kwa mujibu wa Kamusi Elezo Huru, Ukristo (kutoka neno la Kigiriki Khristos, ambalo linatafsiri lile…

Marekani na Iran: Yanayotuhusu na yasiyotuhusu

Dunia inashuhudia kuhatarishwa kwa amani baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuliidhinisha Jeshi la Marekani, hivi karibuni, kumuua kwa shambulio la kombora Meja Jenerali Qasem Soleimani wa Iran. Ni kawaida kwa Merakani kuua watu inayowatuhumu kwa jambo moja au…

Jibu la msamaha ni msamaha (3)

Epuka kuishi maisha ya kujitenga. Kujitenga na wenzako kunakuletea upweke. Mtaalamu wa magonjwa ya akili na Profesa wa Chuo Kikuu cha Harvard, Robert J. Waldinger, katika programu yake inayojulikana kama TED, inayopatikana katika mtandao wa kijamii wa YouTube anasema: “Tatizo…