JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Shule za Serikali zinakwama wapi?

Januari 9, mwaka huu Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) lilitangaza matokeo ya mitihani mitatu ya kitaifa iliyofanyika mwaka jana.  Baraza la Mitihani lilitangaza kwa pamoja matokeo ya mtihani wa kujipima wa darasa la nne, kidato cha pili na ile…

Lugola amevuna alichopanda, asimlaumu mtu

Wakati Rais Dk. John Magufuli anatangaza kumtumbua Kangi Lugola kutoka kwenye uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, alisisitiza sana neno unafiki. Kwamba yeye si mnafiki.  Akasema kwamba Lugola ni mwanafunzi wake na rafiki yake, lakini alichokifanya kwenye kazi ya umma…

Yah: Dhana ya kujifunza kujiuzulu

Sina hakika kama ningekuwa kiongozi katika maisha yangu iwapo ningeweza kukaa madarakani kwa muda mrefu. Sababu kubwa ni kwamba ninajua maana ya kuwajibika pale ambapo nimekosea au ninayemsimamia amekosea. Kuna hadithi ndefu mgongoni kwangu ya uwajibikaji katika madaraka ambayo nimepata…

Mafanikio katika akili yangu (15)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Ngoja nimtumie barua pepe, ninaona hapatikani,’’ alisema yule mhariri wa makala alizokuwa akituma Noel. Walikuwa hawajawahi kuonana hata siku moja na Noel, Noel alikuwa hajawahi kufika katika ofisi za gazeti hilo. “Fanya mawasiliano…

Amani ya nchi ni muhimu kuliko ushindi wa mtu au chama katika uchaguzi

Wakati nchi inajiandaa kuingia kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, amani ya nchi ni jambo linalotakiwa kuangaliwa kwa umakini mkubwa.  Nchi zetu hizi zinazoitwa za dunia ya tatu, au nchi zinazoendelea, mara nyingi zimetokea kuvuruga amani yake wakati kama huu…

Uamuzi wa Busara (8)

Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara, tulisoma jinsi wanachama wa Chama cha TANU wanavyojivunia kuimarika kwa chama chao kiasi cha kuvifanya vyama vingine vinavyokipinga kuanza kupukutika. Wiki hii ni mwendelezo wa tulipoishia. Endelea… Kutokana na uamuzi huo…