Category: Makala
Mafanikio katika akili yangu (12)
Katika toleo lililopita sehemu ya kumi na moja tuliishia katika aya isemayo: “Noel, mimi ninaona utafanya mambo makubwa, wala usikate tamaa,” alisema profesa. Noel alikuwa amekaa kwa huzuni akiwa na mawazo tele, maana alikuwa akifikiria kuhusu umaskini aliouacha Tanzania. Umaskini…
Polepole: CCM kutawala hadi 2100
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaingia katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu kikiwa tayari kimekwisha kujihakikishia ushindi kwa asilimia 70 katika ngazi zote zitakazogombewa. “Kutokana na jinsi tulivyojipanga, hadi hivi sasa tuna uhakika wa asilimia 70 ya kura za urais…
KIJANA WA MAARIFA (9)
Jifunze zaidi uongeze uzalishaji Katika chuo kimoja cha kujifunza karate lilitolewa tangazo la vijana waliopenda kujiunga na kozi ya karate wafanye usajili na kuanza kozi hiyo katika mwaka mpya wa masomo. Wolfgang akiwa kijana aliyehitimu masomo ya uzamili alikuwa ni…
Uamuzi wa Busara (5)
Katika sehemu ya nne tuliishia katika aya isemayo: Kama serikali ingelikubali azimio hilo lililobadilishwa, Dar es Salaam pasingekuwa na uchaguzi mwaka 1958. Ndiyo kusema Mwalimu Nyerere angeendelea kukaa katika Baraza la Kutunga Sheria kwa kuteuliwa na gavana ingawa baraza hilo…
Historia kabla ya Uhuru na mafanikio ya miaka 58 ya Tanzania kujitawala
Ni vema na haki kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mema mengi anayotutendea na kipekee kumshukuru kwa zawadi ya uhai, maana ni kwa neema yake sisi tunapumua. Vilevile ninamshukuru Mungu sana kwa taifa letu kusherehekea vizuri na kwa amani Uhuru wa Tanganyika…
Deni la taifa lakua Oktoba
Deni la nje la taifa ambalo linahusisha deni la serikali na deni la sekta binafsi, lilikua na kufikia dola milioni 22,569.4 za Marekani ilipofika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu, Benki Kuu (BoT) imeeleza. Taarifa ya Uchumi kwa Mwezi iliyotolewa…