JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Bei za vyakula zapandisha mfumko wa bei

Kupanda kwa bei za vyakula kumesababisha kupanda kwa kiasi kwa mfumko wa bei, Benki Kuu (BoT) imeeleza katika ripoti yake ya hali ya uchumi kwa mwezi Oktoba. Ripoti hiyo ambayo imetolewa mwezi uliopita inaonyesha kuwa mfumko wa bei kwa mwaka…

Atatokea mhubiri mwingine kama Bonnke?

Mwanzoni mwa mwezi Desemba Shirika lijulikanalo kama Christ for All Nations (Kristo kwa Mataifa Yote) lenye makao yake makuu jijini Orlando, Florida nchini Marekani lilitangaza kuwa Mchungaji Reinhard Bonnke amefariki dunia.  Mchungaji Bonnke atakumbukwa kwa kazi yake kubwa ya kueneza…

Ndugu Rais, 2020 tunahitaji busara zaidi badala ya nguvu

Ndugu Rais, leo tunaufunga mwaka 2019 kama unafungika. Na kesho tunaufungua mwaka 2020 kama utafunguka. Wanaosema ni mwaka mpya, watuonyeshe basi upya wake. Siku ni zilezile hazibadiliki. Wiki ni zilezile wala hazina maboresho.  Miezi nayo inabaki ileile kumi na miwili…

Mtume Muhammad (S.A.W) kinara wa utunzaji wa mazingira

Mazingira yanajumuisha, kwa mujibu wa Uislamu, vyote vinavyomzunguka mwanadamu, akiwa ni msimamizi. Ni neema kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayostahili kuenziwa na kutunzwa ikiwa ni sehemu ya kuonyesha shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu kwa neema hizi zisizo na mfano. Kama…

Wazuiwa kumuaga marehemu baba yao, kisa hawajakeketwa!

Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika ambayo inasifika kwa kuwa na mifumo mingi ya ulinzi dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto.  Hilo si suala la bahati mbaya, kwani mifumo hiyo imewekwa makusudi na serikali na sekta binafsi kama…

Jibu la msamaha ni msamaha (1)

Napenda kuchukua fursa hii kuwatakia wanafamilia wa ukurasa wa TUZUNGUMZE na wasomaji wote wa  Gazeti la JAMHURI heri ya Noeli na Mwaka Mpya wa 2020.   Napenda kuwatakia miezi 12 ya furaha, wiki 52 za baraka, siku 366 za mafanikio,…