Category: Makala
UJUMBE KUTOKA IKULU
HOTUBA YA MHE. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA MAZUNGUMZO NA WASHIRIKI WA MKUTANO WA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA, IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 30 AGOSTI 2019 Ni heshima kubwa kwangu…
BURIANI KOMREDI IBRAHIM MOHAMED KADUMA
‘Kikitokea chama kama CCM ya Nyerere kitatawala milele’ Mwaka 2012 Gazeti la JAMHURI lilifanya mahojiano maalumu na mzee Ibrahim Kaduma nyumbani kwake Makongo Juu, Dar es Salaam. Tunaleta sehemu ya mahojiano hayo kama tulivyoyachapisha wakati huo. Mzee Kaduma alifariki…
Bandari: Usalama wa mizigo 100%
Miaka michache iliyopita, Bandari ya Dar es Salaam ilikuwa na changamoto ya usalama wa mizigo ya wateja. Mhandisi Deusdedit Kakoko alipoteuliwa Juni 25, 2016 kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), aliahidi kuimarisha ulinzi na kuondoa udokozi bandarini….
Wanaiingiza nchi katika machafuko wakisingizia wanakupenda
Ndugu Rais, walituambia kukaa kimya ni kukubali yote; bali kukemea yasiyofaa ndiyo busara na hekima ya kiongozi bora. Watu wako baba wanakupenda kama walivyowapenda marais wengine waliokutangulia. Sasa huu wasiwasi unatokea wapi? Watu wamejaa wasiwasi mwingi katika macho yao. Wasiwasi…
Inahitaji ujasiri wa simba kufichua maovu
Mara kwa mara katika hotuba zake Rais John Magufuli hukumbusha wajibu wa viongozi katika ngazi zote kutimiza wajibu wao wa kuwatumikia wapiga kura. Amekumbusha tena kwenye hotuba yake hivi karibuni kwa watendaji wa kata aliyowaalika Ikulu. Alisisitiza umuhimu wa watendaji…
Ukweli kesi ya Mzungu na Airbus yetu (1)
Kabla ya kukamatwa ndege Mwaka 1983 kupitia Kifungu cha 3( 1 ) cha Sheria iliyoitwa Acquisition and Transfer Management Act, 1983 kampuni sita za Mzungu Hermanus Steyn ambazo ni Rift Valley Seed Ltd, Hashman Estate Ltd, Lente Estate Ltd, Loldebbis Ltd, Mayoka Estate…