Category: Makala
Yah: Wenye ualbino ni wenzetu
Kuna wakati natamani niandike waraka wangu kama ule wa zamani, kwa kutumia lugha yetu, lakini naona kama dunia ya leo imebadilika kiasi kwamba hampendi mambo mengi zaidi ya mambo, vipi? Huwa sipendi salamu hizi. Leo nimeamka nikiwa na hisia tofauti…
Gamboshi: Mwisho wa dunia (1)
Gamboshi ni Kijiji kilichopo katika Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu. Kijiji hiki kinasifika kwa uchawi kila kona ya Tanzania. Mtunzi wa hadithi hii, Bugulugulu Duu, ameamua kuvaa uhusika wa hadithi hii. Anaelezea kuhusu mazingira na mazingara ya uchawi katika Kijiji cha…
NINA NDOTO (20)
Umri usiwe kikwazo cha kutimiza ndoto Kuwa na umri fulani si kigezo kuwa huwezi kutimiza ndoto zako. Umri ni namba tu. Bila kujali kama wewe ni mzee au mdogo kiasi gani, bado unaweza kutimiza ndoto zako. Bado unayo nafasi…
Elimu ni mkombozi wa ulemavu wa fikra
Ulemavu wa fikra umejificha. Wakati mwingine ni vigumu kuutambua au kwa vile ulemavu huu una nguvu na unaweza kutupumbaza wote, ni jambo ambalo linachukua tafakuri na kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu. Mfano, sisi Waafrika kuwa na majina ya Kizungu na…
Umuhimu wa kujenga familia iliyo bora
Mratibu Ofisi ya CPT Taifa, Mariam Kessy, kwenye kongamano la kumbukizi ya miaka 20 ya kifo cha Mwalimu Nyerere aliwasilisha mada kuhusu familia. Yafuatayo ni baadhi ya yale aliyozungumza. Familia kama msingi wa taifa na jamii, kila mmoja anakotoka na…
Ndugu Rais kama si wewe nani atawatoa watoto majalalani?
Ndugu Rais, imeandikwa; kitabu hiki cha Torati kisitoke mdomoni mwako mchana hata usiku. Nami kama Daudi nimetumwa uyatafakari maandiko tuandikayo kwa maana hayo yataifanikisha njia yako kwa kuwa yatakustawisha! Ndugu Rais, kama si wewe baba, ni nani atawatoa jalalani watoto…




