Category: Makala
Tuthubutu kuondoa umaskini
Mara kadhaa nimepata kumsikia Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akisema nchi yetu ni tajiri wakati wananchi wake ni maskini. Nchi hii imetunukiwa maliasili nyingi na Mwenyezi Mungu lakini watu wachache wametuchezea mno katika kupora mali zetu. Kauli hii inapambwa…
Yah: Liwepo ‘bunge’ la pili la viongozi wa dini
Sijui nianze na salamu gani katika waraka wangu huu, lakini cha msingi ni kujuliana hali kwa namna yoyote ile, kwa mujibu wa waraka wangu napenda kuwajulia hali kwa namna ya salamu zenu za itikadi ya dini na protokali izingatiwe. Wiki…
Nina ndoto (3)
Kila mtu aliyepo duniani ana sababu ya kwanini alizaliwa. Mungu haumbi mtumba. Mungu anaumba vitu orijino kabisa. Hakuna aliyezaliwa aje duniani kuzurura. Hakuna aliyezaliwa aje kusindikiza wengine duniani. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Kuna kila sababu ya kuketi…
Kukojoa mara kwa mara, sababu zinazochangia na suluhisho
Kukojoa ni njia inayotumiwa na mwili kutoa takamwili mbalimbali. Ni muhimu kwa mnyama kukojoa kwa sababu kupitia mkojo mwili unatoa uchafu mwingi usiohitajika mwilini kama vile maji ya ziada yasiyotumika mwilini. Pamoja na umuhimu wa kukojoa, kukojoa mara nyingi kwa…
Wananchi Tegeta, Madale, Goba, Salasala wachekelea kupata maji
Ule usemi wa baada ya dhiki ni faraja, umeanza kudhihirika kwa wakazi wa Salasala, Wazo na Madale jijini Dar es Salaam baada ya baadhi ya maeneo hayo kuanza kupata huduma ya maji kutoka Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (DAWASA). Maeneo…
Gharama za usafirishaji samaki nje ni za kukomoa
Wafanyabiashara wa mazao ya baharini wanaopeleka nje na kuingiza samaki wana kilio chao kikubwa. Wafanyabiashara wa samaki aina ya kamba kochi hai (live lobster), kamba walioganda (frozen prawns) na kaa hai (live crabs) wako taabani kiuchumi. Mwanzo walikuwa wanalipia mrabaha (royalties) kwa kamba kochi dola 0.9 za Marekani…