Category: Makala
Nafsi inapenda mambo mazuri na matamu
Nafsi ya binadamu inapenda mambo mazuri na matamu inapojionyesha na kujipambanua mbele ya nafsi nyingine za wanadamu, lakini ina mtihani mkubwa wa kutawaliwa na ushetani katika kufanya mambo mabaya na machungu, hivyo kuondoa heshima na thamani ya nafsi. Nafsi hupata…
Yah: Nina tabia ya kukumbuka mambo ya zamani tu
Sijui ni kwanini leo nimeamua kuandika waraka huu, najua wapo ambao watakumbuka kama mimi, tulipotoka ni mbali, hilo halina ubishi, lakini leo naona ni kama sekunde tu kuyakumbuka na ndiyo maana hata kutoa salamu naona kama nitakuwa nawapotezea muda. Najihisi…
Ubabe wa wachuuzi
Mpita Njia (MN) yapo mambo anamkosoa Rais Magufuli, lakini yapo mengine – tena mengi – anayokubaliana naye. Waswahili walisema mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Kazi inayofanywa sasa katika maeneo mbalimbali nchini inatia fora. Kumjaza sifa zilizopitiliza kunaweza kumfanya abweteke,…
Nina ndoto (6)
Watu ni nguvu. Ukikaa na watu bora utakuwa mtu bora. Ukikaa na watu wa kawaida utakuwa mtu wa kawaida. Ukikaa na watu wanaowaza mambo hasi utaanza kuwaza mambo hasi, ukikaa na watu wanaowaza mambo chanya utakuwa mtu chanya. Ukiwa na…
Ukiona dalili hizi za saratani muone daktari
Saratani ni muunganiko wa magonjwa ambayo mara zote husababishwa na uzalishwaji wa seli za mwili kupita kiasi kinachohitajika mwilini, na seli hizo huendelea kujigawa kupita kiasi na kutengeneza kiasi kikubwa kuliko mwili unavyoweza kuhimili. Ukuaji huu wa seli hizi unaweza kusababisha vimbe…
Mkaa unaotunza misitu, kuleta neema Kilosa
Hifadhi ya Taifa ya Mikumi imepakana na vijiji 19, Kijiji cha Ihombwe kilichoko Kata ya Mikumi, wilayani Kilosa kinajivunia mradi wa mkaa endelevu uliopo kijijini hapo. Ni kupitia mradi huo kijiji kimefanikiwa kutoa ajira kwa vijana zaidi ya 40 wanaofanya…


