JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nani katuloga?

Wiki iliyopita Kampuni ya Mwananchi ilifanya jambo la maana sana. Iliandaa mjadala muhimu sana uliohusu athari za biashara na matumizi ya mkaa nchini. Nasikitika kutoshiriki mjadala huo. Hizi picha zinazoonekana hapa nilizipata wiki mbili zilizopita bila kujua kungekuwapo mjadala wa…

Hekima na busara zitawale wasanii (2)

Siti alikuwa maskini wa sura lakini tajiri wa sauti. Alikuwa kinanda Afrika Mashariki na watu wakampenda. Alikuwa na kinywa cha mbubujiko mkubwa wa muziki. Alighani katika taarabu kwa miaka thelathini. Alitumia ulimi wake kuvuta walio mbali kumsikiliza na wa karibu…

Yah: Tanzania ilikuwa nyumba ya amani Afrika

Nimekumbuka kuna siku nilisikia kwamba vita ya uchumi sasa hivi ni kubwa na inapiganwa sana duniani baina ya nchi na nchi, vita hii ina lengo la kumiliki njia za uchumi kwa mataifa mbalimbali ili kuweza kuendelea kwa mataifa machache na…

WHO: Ajali 16,000 zasababisha vifo nchini

Takwimu za Jeshi la Polisi na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusiana na  vifo vinavyosababishwa na matukio ya ajali za  barabarani Tanzania zimezua hofu ya mwenendo halisi wa usalama barabarani nchini. Desemba mwaka jana, shirika hilo limetoa ripoti yake ijulikanayo…

ATCL imefufuka, imesimama, inapaa

1. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani na kuliboresha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua ndege mpya, je, idadi ya  abiria imeongezeka kiasi gani tofauti na ilivyokuwa awali? JIBU: Serikali ya Awamu ya Tano imeingia madarakani Novemba…

Rais amethubutu, tumuunge mkono

Awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kumpata kiongozi shupavu. Mungu ni mwema, akamuinua Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli awe Rais wa Tanzania baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2015. Kabla ya uchaguzi huo, Watanzania wengi…