Category: Makala
Hekima na busara zitawale wasanii
Walimwengu wanatambua wasanii wa muziki ni kundi ambalo linatoa mafunzo yenye maarifa mbalimbali kwa jamii. Tungo zao hutazamwa kwa shauku kubwa, kwa matarajio ya kuelimisha na kuburudisha jamii. Aidha, ndimi zao zinatawaliwa na adabu. Katika fasihi hii namtazama mwana mama…
Yah: Njombe nini kimetusibu, ni ukarimu wetu?
Kabla sijaanza na salamu ni vema nikatumia fursa hii kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa na watoto wote waliopoteza marafiki zao wa utotoni. Wapo watoto ambao kwa kitendo hiki huenda ndoto zao pia zikawa zimekufa kutokana na wenzao kutendewa matukio ya…
Nina ndoto (4)
Muda pekee wa kutazama nyuma ni kutazama ni hatua kiasi gani umepiga. Ingawa Waswahili waliwahi kusema: “Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo.” Si kila muda ni wa kusahau yaliyopita. Nyakati zilizopita zina mafunzo tunayoweza kukutana nayo kwenye wakati ujao. Kosa si…
Kuumbwa kwa Bonde Kuu la Ufa
Kati ya miaka 300,000 hadi 250,000 iliyopita zana kubwa za mawe zijulikanazo kama acheulian zilianza kupotea katika maeneo ya akiolojia ya Afrika. Nafasi yake ikichukuliwa na aina mpya ndogo ndogo na saizi ya kati. Ukamilisho wa zoezi hili unamaanisha mwanzo wa muhula…
Baadhi ya vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau
Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya zetu, kwa watu wa jinsia zote na rika zote. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu, hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika…
Mikumi kuongeza shughuli za kitalii
Kutokana na sekta ya utalii kutiliwa mkazo na Serikali ya Awamu ya Tano kwa ajili ya kuinua uchumi wa nchi, Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo Kilosa, mkoani Morogoro imejipanga kuongeza shughuli za kitalii kwa lengo la kuvutia watalii wengi…



