Category: Makala
MAISHA NI MTIHANI (14)
Kushindwa ni mtihani, mambo magumu sana ya kushughulikia maishani ni kushindwa na kushinda. Ukishindwa ni mtihani, ukishinda ni mtihani. Kuendeleza ushindi ni mtihani, kushikilia namba moja ni mtihani, kushikilia namba ya mwisho ni mtihani. Hoja si kushindwa bali lile mtu…
Rais nakuomba utafakari upya (2)
Ndugu Rais, sehemu ya kwanza ya waraka huu niliishia kwenye maneno ya hekima ya uhifadhi yaliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Agosti 10, 1975. Kwa ufupi Mwalimu alieleza matokeo ya dhambi ya kuteketeza wanyamapori na misitu iliyotendwa…
Tuthubutu kuondoa umaskini
Mara kadhaa nimepata kumsikia Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, akisema nchi yetu ni tajiri wakati wananchi wake ni maskini. Nchi hii imetunukiwa maliasili nyingi na Mwenyezi Mungu lakini watu wachache wametuchezea mno katika kupora mali zetu. Kauli hii inapambwa…
Yah: Liwepo ‘bunge’ la pili la viongozi wa dini
Sijui nianze na salamu gani katika waraka wangu huu, lakini cha msingi ni kujuliana hali kwa namna yoyote ile, kwa mujibu wa waraka wangu napenda kuwajulia hali kwa namna ya salamu zenu za itikadi ya dini na protokali izingatiwe. Wiki…
Nina ndoto (3)
Kila mtu aliyepo duniani ana sababu ya kwanini alizaliwa. Mungu haumbi mtumba. Mungu anaumba vitu orijino kabisa. Hakuna aliyezaliwa aje duniani kuzurura. Hakuna aliyezaliwa aje kusindikiza wengine duniani. Maisha ni zawadi tuliyopewa na Mwenyezi Mungu. Kuna kila sababu ya kuketi…
Kukojoa mara kwa mara, sababu zinazochangia na suluhisho
Kukojoa ni njia inayotumiwa na mwili kutoa takamwili mbalimbali. Ni muhimu kwa mnyama kukojoa kwa sababu kupitia mkojo mwili unatoa uchafu mwingi usiohitajika mwilini kama vile maji ya ziada yasiyotumika mwilini. Pamoja na umuhimu wa kukojoa, kukojoa mara nyingi kwa…





