JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

MAISHA NI MTIHANI (13)

Matatizo ni mtihani. “Matatizo huzaa matatizo; lakini matatizo ni mazalio makubwa ya mafanikio. Mara chache mafanikio ya kweli, maendeleo ya kweli yanakuja kwa njia nyingine,” alisema Gerald Jaggers. Matatizo ni fursa ya kupiga hatua mbele. Likabili tatizo, usilizunguke, usilikwepe. “Matatizo…

Kuporomoka maadili nani alaumiwe? (3)

Wiki iliyopita katika mfululizo wa makala hii tuliishia pale mwandishi aliposema ni nani amewaandalia haya mazingira? Ni mimi au wewe?  Ni yule au wao wenyewe? Jibu ni si yule wala wale, si yeye. Ni mimi na wewe, kwa nini ni…

Rais nakuomba utafakari upya (1)

Ndugu Rais, niruhusu nianze kwa kumnukuu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi si tu kwamba ni muhimu…

Yah: Unabii katika uongozi wa nchi yetu

Nianze na salamu kama kawaida na kuwapa pongezi tena ya kuendelea kuwa nasi katika gazeti letu ambalo nina hakika tunawafikia vizuri na tunawafikia pale ambapo wenzetu wengi wamekoma. Lengo letu hasa ni kuwapa taarifa na si kuwapa uzushi, tunaahidi mwaka…

Tuzingatie kanuni za uandishi wa habari 

Ukisoma Kamusi Kuu ya Kiswahili moja ya maana ya neno HABARI ni jambo, tukio au hali fulani iliyo muhimu na ya aina ambayo ni ngeni kwa walio wengi. Jamii ya wasomaji wa magazeti, wasikilizaji wa redio na watazamaji wa televisheni inayofaa…

Nina ndoto (2)

Ukiona ndoto yako haiwatishi watu, jua kwamba ni ya kawaida sana. Ndoto ya kwanza ya Yusufu iliwatisha ndugu zake. Ndoto yake ya pili si kwamba iliwatisha ndugu zake tu, bali ilimtisha hadi baba yake, Yakobo. Tunaambiwa siku moja ndugu zake…