JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Nakumbuka disko la JKT, nadhani lirudi

Kama ilivyo ada ya muungwana, salamu ni jambo muhimu sana kwa msomaji wa safu hii ya kizuzu. Utakubaliana nami kwamba sijawahi kuacha kuwajulia hali. Hii inatokana na mafunzo niliyopata nikiwa kinda kwa wazazi wangu na mwishowe mafunzo ya uzalendo kwa…

Viongozi wetu wanao ukweli, wajibu na uzalendo? 

Nimepata kumsikia kiongozi mmoja wa siasa hapa nchini akisema hawezi kuipongeza serikali, yeye ni mzalendo. Serikali kufanya jambo zuri ni wajibu wake. Yeye ni opposition. Yupo hapo ili kuangalia mambo ambayo hayajatekelezwa, hayajafanywa vizuri na serikali. Anasema serikali ikifanya vizuri ni…

Nina ndoto

Yusufu alikuwa mtoto wa Yakobo. Akiwa na miaka 17 baba yake alitokea kumpenda sana maana alikuwa ni mwana wa uzee wake, akamtengenezea kanzu ndefu. Ndugu zake walipoona anapendwa zaidi wakaanza kumchukia. Siku moja Yusufu akaota ndoto na kuwaambia ndugu zake,…

Binadamu kutoka Afrika walivyozagaa duniani

Watu wa kale walitumia zana za mawe kuchinja mawindo yao. Katika kutekeleza hayo, huacha alama za chale kwenye mifupa. Hizi chale huweza kutambuliwa kutokana na umbo lake. Nyingi huwa na umbo la ‘V’ pamoja na mikwaruzo miembamba upande wa ndani…

Waraka wa korosho kwa Rais Magufuli

Natanguliza shukrani kwako Rais wetu mpendwa kwa utendaji kazi wako uliotukuka na ambao watu wa mataifa mengine wanatamani ungekuwa rais wao. Nchi nyingi zinakupigia mfano japo umeiongoza Tanzania kwa miaka mitatu tu! Naamini si wote watakaoukubali utendaji wako hasa waliokatiwa…

Mwendokasi wa magari sasa ujangili mpya Hifadhi ya Taifa Mikumi

Umewahi kuendesha gari katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na ukamgonga mnyama yeyote ndani ya hifadhi? Unakumbuka kama ulilipa faini za kumgonga mnyama? Basi kwa taarifa yako magari ndiyo yamekuwa majangili wapya katika hifadhi hiyo. Wakati Shirika la Hifadhi za…