JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Utabiri wangu haukomi, natabiri tena 

Nianze kwa salamu za mwaka mpya kwa wasomaji wetu wote, najua tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kutuvusha mwaka huu, mwaka jana ulikuwa na mambo yake, yapo yaliyokuwa ya heri kwetu na yapo ambayo kwa kweli yalizikera nafsi zetu, lakini…

Tabuley, Pepe Kalle Wakumbukwa Kongo 

Desemba mwaka jana baadhi ya wapenzi na mashabiki wa wanamuziki Tabu Ley na Pepe Kalle walifanya kumbukizi ya wanamuziki hao.  Ikumbukwe kuwa kifo cha Pepe Kalle kilitokea Novemba, 1998 wakati Tabu Ley alifariki dunia Desemba 2013, kutokana na mshtuko wa…

Maeneo matatu pesa ilikojificha (1)

Pesa imejificha katika maeneo makuu matatu. Sehemu ya kwanza pesa ilikojificha ni katika uhitaji.Biashara yoyote kubwa yenye mafanikio ni biashara inayotoa suluhu kwa mahitaji yanayohitajika katika jamii. Ukiweza kutatua uhitaji wa watu kwenye jamii yako au kutatua matatizo ya watu…

Ndugu Rais naiona kesho yangu

Ndugu Rais, naiona kesho yetu iliyopangwa na Baba. Kesho ya heshima iliyopangwa na Baba. Kesho ya neema, kesho yetu ya ushindi liyopangwa na Mungu. Sitaki kuitazama leo yetu. Leo yetu ni ya shida. Kuna majira hufika mambo yakawa magumu. Hata…

Watanzania tusiwe kama Thomaso

Desemba 9, 2018 imeangukia siku ya Dominika, ni siku ya Bwana, sisi Watanganyika tumefanya kumbukumbu ya mwaka wa 57 wa Uhuru wa taifa letu. Ni fahari kubwa sana kwa sisi sote kukumbuka Desemba 9, mwaka ule wa 1961 tuliojikomboa kutoka…

Namna ya kuishinda hasira yako (2)

Hasira hupunguza furaha katika maisha Hasira iko tofauti na upendo, hasira iko tofauti na furaha, hasira iko tofauti na msamaha. Hasira iko tofauti na huruma, hasira iko tofauti na amani. Ndugu wa hasira anajulikana, ndugu huyo ni hasara. Kila mmoja…