JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Wanyama wanamalizwa Loliondo

Hadi naandika makala hii, mizogo ya tembo wanane imeonekana katika Kijiji cha Maaloni, Arash, Ngorongoro mkoani Arusha. Miezi miwili, katika Kitongoji cha Karkamoru, Loliondo pekee twiga wanane wameuawa. Watuhumiwa wa ujangili wamekwisha kukamatwa, japo kuna taarifa kuwa wahusika wenyewe bado…

MAISHA NI MTIHANI (7)

Ujana ni mtihani. Ujana ni kama mtindo unapita haraka. Ujana ni moshi, ukienda haurudi. Hakuna mzee yeyote ambaye ana utajiri wa kununua tena siku zake za ujana. Kipindi cha ujana ni kimoja, ingawa baadhi ya wazee wanaitwa vijana wa zamani….

Hali zinabadilika, mabadiliko ni muhimu

Desemba 13, mwaka huu itatimia miaka 27 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliposema: “Hali zinabadilika. Tuendelee na chama kimoja cha siasa ama tuwe na vyama vingi vya siasa.” Maelezo haya aliyatamka Desemba 13, mwaka 1991 alipozungumza na…

Yah: Tuna vituko hadi kichekesho

Uswahili ni uungwana na hata kama jana tumeonana si vibaya leo tukajuliana hali na salamu, ukizingatia maisha ni mafupi na mtu husafiri na kifo chake, hii si busara kujua unahitaji kuangalia uzao wako na sasa mmebaki wangapi mtaani au kijijini…

CCM, wembe ubaki ule ule

Taarifa kwamba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, kumtaka aliyekuwa mgombea wa urais wa CCM, Bernard Member kufika ofisini kwake kujibu tuhuma za kuendesha mikakati ya “kukwamisha” juhudi za Rais John Magufuli zimepandisha kidogo joto la…

Jitofautishe, fanya kitu fulani

“Kama unafikiri wewe ni mdogo kiasi cha kuleta tofauti, haujawahi kukesha usiku kucha ukiwa na mbu,” ni methali ya Kiafrika. Mbu ni viumbe wadogo sana, lakini wakati wa usiku tukiwa tumelala huwa wanafanya maajabu makubwa. Unaweza kuwa umelala na haujashusha…